Hapa Chadema Sijawaelewa...hawajiamini au...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa Chadema Sijawaelewa...hawajiamini au...?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Junius, Aug 12, 2010.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  CHADEMA’s leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket.

  Chadema Deputy Chairperson, Mr Said Arfi said that party leadership found it difficult to reach a compromise whether to field a candidate for Melele Constituency.

  Mlele constituency, formerly Mpanda East, is located in the newly established Katavi Region.

  However, as the party was undecided over fielding a candidate for Mlele constituency, one of the it’s members, Mr Sebastian Kasinge, on Monday picked nomination forms from Mpanda District Executive Director vying for Parliamentary Seat for the constituency.

  Commenting on Kasinge move, Mr Arfi said Chadema had stopped him (Kasinge) from contesting because he had not received the party blessings.

  According to the party’s regulations, Chadema’s National Executive Committee (NEC) was the only organ with mandate to nominate candidates for Parliamentary and councillorship seats.

  Mr Arfi said he had already met with Mlele and Mpanda District elders and religious leaders seeking their opinion whether Chadema should field a candidate to contest with Mr Pinda at Mlele constituency. He, however, declined to disclose the outcome of the meeting.

  Mr Arfi is also expected to defend his Mpanda Urban (formerly Mpanda Central). Mpanda urban had fallen into the hands of opposition Chadema since the 2005 general elections....
  source: dailynews
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nilifikiri nikaona kwa kuwa chadema wamethubutu kupambana CCM kuanzia nafasi ya urais na wakijiamini kuwa watashinda (kwa mujibu wa Mh.Mbowe) niliona kuwa wana uthubutu wa kusimamisha wagombea majimbo yote kwa nafasi nyingine za uwongozi...sasa hapa Mh.Arfi ananukuliwa na kauli kama hiyo ya kusitasita...sijawaelewa chadema naomba wanisaidie...wanamuogopa Pinda...wanaona hawana uwezo wa kushinda jimbo hilo la mtu mzito kama Pinda...na kama ni hivyo, wanapata wapi ujuburi wa kusimama na Kikwete wakati Pinda wanamgwaya...?
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwenye siasa it is wastage of resources kufield candidates sehemu mnayojua obviously mtashindwa, ukiangalia hata CUF imetoa list ya wagombea ubunge wake lakini hawafiki hata mia nchi nzima.

  Marekani mfano Democrats hawahangaiki hata kurusha matangazo kwenye zile obvious strongholds za republicans mfano Utah!
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  In politics siku zote lazima uangalie picha kwa upana, kama unakumbuka how much resources zilitumika na CCM in 2005 kwa ajili ya jimbo la Moshi mjini utanielewa It was just absurd. Lakini labda just a quarter of the same resources zingetumika Biharamulo it's likely CCM ingechukua lile jimbo.
   
 5. n

  njori Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakiweka mgombea watakuwa wanachezea shilingi baharini!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hapo ndipo unapofuka.... CHADEMA SIO CUF, wagombea hao hao miaka nenda rudi, we call it chama chenye mgombea urais anayeongoza kwa kushindwa duniani!!!

  Ukiamua kupigana na mtu kufa na kupona haina maana upige kila kiungo chake.... it is astrategic battle na what they are doing is really great tactic, NI BORA WASIMAMISHE WAGOMBEA 120 WAPATE 90 KULIKO KUSIMAMISHA WAGOMBEA 230 WAPATE WABUGE 20... USE YOUR COMMON SENSE

  CHADEMA: I like this and please rather than stretching very thin, be strategic about your candidacy....

  IF YOU WANT TO KNOW HOW LOSERS LOOK, MUANGALIE LIPUMBA, HE HAS LOST SOO MANY PRESEDINCIAL ELECTION BC AND AD [BOTH ERAS]
   
 7. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani,kabla ya kupoteza muda kuijadili habari hii (licha ya mantiki yake nzito) ni muhimu kutambua kuwa IMEANDIKWA NA DAILY NEWS...And that speaks volumes.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Umesahau kuwa CCM ilipeleka helkopta Tarime lakini maji yalizidi unga? Kwa nini hawakuipeleka maeneo mengine kama Mbeya Vijijini? Jibu ni obvious kule mambo yalikuwa si mabaya kwao! Kwenye siasa huwezi ukakubalika kila sehemu, ndio maana CUF haina mbunge hata mmoja wa kuchaguliwa bara!
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kweli chadema siyo CUF...kushinda na kushindwa ni matokeo ya kawaida katika ushindani...mara ngapi umeshindwa pia haijalishi sana...ila nashangaa kwa umakini wao wote chadema wamechaguwa mgombea mwenza wa urais Zanzibar hamna kitu kichwani...hii kali ya mwaka!

  Hapa ndo kabisa siwaelewi...jimbo ambalo chadema wanahakika ya ushindi ndilo wanatumia resource kubwa ya kulitwaa yale maeneo ambayo hawna umaarufu wanaogopa...how come!
  Naona unataka kushindana na mtandao wa CUF, ujuwe kimtandao CUf imejieneza kote Tanzania...hakikurupuki kurupuki tu...lazima chama kiimarike vizuri vijijini huko...kwa mikakati ya mda ujao kushinda uchaguzi na hili hatuna haraka ya matokeo yake.

  Labda nikwambie kitu kimoja ambacho hata chadema wenyewe wanaweza kukubaliana na mimi, chadema hawajawahi kuwa na kiongozi mwenye vision kama marehemu Chacha Wangwe...jamaa kama angebahatika kuwa kiongozi wa chadema miaka mitano tu....chama kingefika mbali sana na mda huu kingekuwa tayari kutowa upinzani mkali wa kweli kwa CCM.

  Wangwe alikuwa na vision ya chama kujiimarisha vijijini, "ndiko kwenye kura nyingi..." aliwahi kunukuliwa akisema.
  Mtazamo wake haukuwa wa chama kujiimarisha DSM tu na kujidanganya kuwa Dar ndiyo Tanzania ni kupoteza malengo bure...hivyo alisisitiza ruzuku ya chama ipelekwe vijijini kuimarisha chama kipate kura mda ukifika.

  Mpaka leo sijaona kiongozi wa chadema (ukiondoa Zitto Kabwe ambaye kwa mbali anafanana na Wangwe kwa mtazamo huo) hakuna viongozi wa juu wenye kujali sana kukipeleka chama kwa wapiga kura. Ndiyo maana ACID anahisi eti bora wagombea kiduchu kuliko kujitanua zaidi. Matokeo yake mnamgwaya Pinda.
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Junius,

  Hivi CUF (chama ambacho wewe wadai kuwa ni mwanachama) wana wagombea kila jimbo Tanzania?
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Labda hujaelewa mantiki ya hoja yangu...CUF ina mkakati kila jimbo,kitongoji,kata,mtaaa n.k...kama kuna pahala hajasimamishwa mgombea aidha kuna mkakati wa kuimarisha chama pahala hapo au kuna mgombea wa chama cha upinzani ana advantage na ataungwa mkono (hakuna kukurupuka tu) na kugwayagwaya.
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Mkuu Julius,

  Kwanza nitajie mahali popote popote duniani nje ya Tanzania ambapo mtu mmoja amewahi kugombea Uraisi mfululizo mara nne na mara zote kashindwa. Pili nitajie chama chochote duniani ambacho kimewahi kumsimamisha mgombea Uraisi huyo huyo mara nne mfululizo na mara zote kikaambulia sufuri. Mwisho kama CUF itashindwa tena mwaka huu, je mwaka 2015 watamtoa wapi mgombea au huyo huyo Lipumba atavunja rekodi yake mwenyewe kwa kugombea kwa mara ya tano.
   
 13. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu cheki Cyprus, Benin, Canada, na France nk Na kali zaidi ni Mexico ten times. Na hawa ni wachache wapo wengine wamewahi kugombea zaidi ya mara 10. Kwahiyo hoja yako hakuna mahali pengine inahitaji research kidogo. Na unaweza pia kupita kwenye link hii ili kujiridhisha. Perennial candidate - Wikipedia, the free encyclopedia
  Kwa CHADEMA km ilivyo CUF kwa JMT resource hazipotei kwa Pinda tu bali hata kwa mgombea Urais ni vyema wangeongeza Uwakilishi Bungeni. Ikifika November, wengi wetu tutajifanya hatukuwahi kusikia ukweli huu lakini ni vyema tusikie na tuzoee.
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
   
 15. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  lakini nafikiri kama tumeamua kuchukua nchi ni lazima watafutwe watu wagombee maeneo mengi iwezekanavyo kwa sababu kama Dr. Slaa atashinda ataendeshaje nchi? kama hana wabunge wengi? hii ni logic ndogo, kama wagombea ni wachache inakuwa na maana hata ukipigia chadema haiwezi kufanikiwa kuongoza nchi labda kuongeza wabunge tu
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bado hujajibu swali langu
   
 17. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hata nchi zenye demokrasia ya vyama vingi kwa karne kibao kama marekani, kuna miaka ambayo vyama vya upinzani huwa vinakosa kabisa watu wa kuwasimamisha kwenye baadhi ya majimbo (wanaishia kuunga mkono yeyote yule anayetokea) - kuna town moja Wisconsin (kama sikosei) inaongozwa na meya ambaye wakati akigombea, alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza.
   
 18. C

  Chuma JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Hoja yako ingekuwa nzuri kama Chadema ingekosa mtu wa kugombea...Mgombea yupo tayari kupambana na Pinda..Uongozi wa Juu wa Chama hautaki...is it sense?

  Ushauri wangu hata kama resources hakuna...hii itakuwa ni litmus test ya Chadema kujua wanakubalika kias gani hapo kwa Pinda....ingeleta sense kama Chadema wamekubaliana na Chama kingine cha Upinzani hapo Jimboni....lkn si kumuachia Pinda kupita bila kupingwa.
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata CUF hawakusimamisha mgombea?
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  I agree,

  Especially when dealing with limited resources and so many realistically winnable constituencies. It is a logistic and economic issue.

  I would rather see CHADEMA concentrating it's effort and resources on constituents where they have a realistic chance.

  So unless there is a realistic chance to unseat the PM ( that would be a bombshell) this is a no brainer.
   
Loading...