Elections 2010 WanaJF: Nina imani ya kushinda Ubunge Lushoto Mjini

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia ni nyeupe kuchukua kiti cha ubunge kwa tiketi ya chadema pale lushoto mjini, wanalushoto hawawezi kula matapishi yao maana walimuondoa shekifu 2005 na najua hawako tayari kumpa kura 2010 kwani hana jipye, hii ni sawa na "mvinyo wa zamani usiolewesha kwenye chupa mpya". Naombeni support yenu ili nilitwae hili jimbo.
 
Amen. Kwea ufanikiwe.
Unahitaji support gani mkuu? We want to meet your expectations. Fafanua tafadhali
 
Fanya basi kama Regia Mtema.......achana na hizi "JF nick names" wewe sasa ni muheshimiwa!! unajua mtu ukimfahamu ni rahisi kumpa suport!! :smile-big:
 
Tupo nawe bega kwa bega pia eleza aina ya support unayohitaji ili tujue namna ya kukusaidia kwa wenye uwezo huo
 
Hongera sana nakutakia ushindi kwa kishindo ila unahitaji maombi siunapajua Tanga kumesimama
 
Hongera mkuu, ni hatua muhimu.
Sijui tunawezaje kukusaidia ili ufanikiwe azma yako ya kutuwakilisha
 
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia ni nyeupe kuchukua kiti cha ubunge kwa tiketi ya chadema pale lushoto mjini, wanalushoto hawawezi kula matapishi yao maana walimuondoa shekifu 2005 na najua hawako tayari kumpa kura 2010 kwani hana jipye, hii ni sawa na "mvinyo wa zamani usiolewesha kwenye chupa mpya". Naombeni support yenu ili nilitwae hili jimbo.

Mkuu, kama kweli unataka kushinda nakushauri uje na sera siyo kuangalia mgombea wa CCM yukoje. Nikiangalia kwa makini naona kama vile turufu yako ya ushindi ni kuwa CCM wamesimamisha mgombea dhaifu na si umaridadi wako.
My advise work on your strenghts and the weaknesses will take care of themselves. Huwezi kushinda (kwa haki) bila kuwa na jipya unalowaletea wana Lushoto, nakushauri pia ujikite zaidi katika kuelezea nini utafanya ambacho CCM wameshindwa na hawawezi kuwaleteaa wana Lushoto na si kumshambulia mgombea wa CCM, ukifanya hivyo watu makini hawatakupigia kura zao.
 
Nimekusoma rafiki, unajua nini wakati utakapofika na mimi kuteuliwa rasmi na CHADEMA kugombea jimbo lile nitaweka wazi matarajio yangu na kitu gani nitawafanyia wana Lushoto ambavyo viongozi waliopita hawakuweza, mi ni mzaliwa wa lushoto na nimeshakaa pale na kufanya kazi pale chuo cha mahakama kwa muda wa miaka 5 kabla sijahama kutafuta green pasture, so najua mengi kuhusu Lushoto na juzi juzi nilikuwa huko kusoma upepo, so si muda sera zangu zitakuwa wazi.
 
Pia usisahau kutotoa hizi picha za akina Drogba zina kudifine vibaya mkuu!
 
njoo utuwekee na CV yako kwa ufupi angalau tupate kujua tunamuunga mkono mtu wa aina gani.
 
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia ni nyeupe kuchukua kiti cha ubunge kwa tiketi ya chadema pale lushoto mjini, wanalushoto hawawezi kula matapishi yao maana walimuondoa shekifu 2005 na najua hawako tayari kumpa kura 2010 kwani hana jipye, hii ni sawa na "mvinyo wa zamani usiolewesha kwenye chupa mpya". Naombeni support yenu ili nilitwae hili jimbo.

Onga mavindi mghoshi?
 
Back
Top Bottom