Vielelezo Mojawapo vya Kuthibitisha Kushindwa Kwa CCM Kuongoza Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vielelezo Mojawapo vya Kuthibitisha Kushindwa Kwa CCM Kuongoza Nchi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nsololi, Aug 12, 2010.

 1. N

  Nsololi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Napendekeza Watanzania wote wenye nia ya kuufahamisha umma wa Wa Tanzania kwa nini CCM hawastaili kupewa miaka mingine ya kuongoza nchi hii kuanda cd zikionesha picha kutoka sehemu mbalimbali za nchi zenye hali mbaya ya kimaendeleo kama hizi hapa na kuzisambaza kwa wa TZ hata kwa kuuza kwa bei poa ili kurudisha gharama ya utengenezaji. Je, haiwezi kusaidia kuonesha kushindwa kwa chma tawala cha CCM??? Je, CHADEMA, CUF, n.k. hawawezi kutumia mbinu hii na kuzisambaza kanda hizi kwenye mikutana ya campain????
   

  Attached Files:

 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]vote sisiem out...! its pathetic [/FONT]
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM haina qualification ya kupewa kura
   
Loading...