..napenda kujua mchango wa mapato ya SMZ kati ya Unguja na Pemba ukoje.
..pia napenda kujua wanagawana vipi misaada wanayopata.
..najua kuna wanaolalamika kwamba Tgk inawaminyia misaada, lakini hicho kidogo wanachopata kinagawanywa namna gani?
ha ha ha ha ha ha ha haaaaa...Kaka unamuonea jamaa bure, ungejua misimamo yake ungesema ni mmoja kati ya wanaotetea maslahi ya Tanzania Bara kwa moyo.Sasa hivi masuala haya ni KERO kwa Watanganyika, waulize Karume na Seif huko huko kwenu na utapata jibu kamili.
Astakafirulahi!ha ha ha ha ha ha ha haaaaa...Kaka unamuonea jamaa bure, ungejua misimamo yake ungesema ni mmoja kati ya wanaotetea maslahi ya Tanzania Bara kwa moyo.
Ila ni kweli ka Zanzibar sasa tukatoe kwenye mazungumzo, kanachukua sana muda wa Taifa. Tumeungana na mkoa, kama si Wilaya (Zanzibar inaingia Masasi mara tano) lakini kanachukua sehemu kubwa ya hewa.