Ya Mpendazoe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Mpendazoe...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Aug 11, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata rufaa.  mkuu yeyote mwenye habari za uhakika atutaarifu tuweze kujua kuhusu huyu kamanda aliyeamua kujitoa mhanga kwa sababu ya taifa lake hadi kupelekea kukosa kiinua mgonga cha ubunge.
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu Shibuda kesha hamia rasmi CHADEMA
   
 3. V

  Vitalis Heines Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpendazoe bado anahitajika jimboni segerea.. Kinondoni walimhitaji lakini akijubu kuwa "Charity starts at home" Kishapu ni nyumbani kwake alikokulia na segera ni nyumbani kwake na familia yake.

  Pia Segerea wameonesha dhahiri kuwa Mpendazoe ndio chaguo lao. Ninaamini kuwa rufaa itasikilizwa na kutolewa majibu yanayo hitajika na wanchama na wanachi wa Segerea kwa ujumla.

  Mimi binafsi ninnashauku ya kupata habari kuhusu muafakaw wa mjadala huu. Majibu yatapatikana pale tuu Chadema watakapo yatoa na ndio wenye usemi.

  Kumpoteza Mpendazoe bungeni kutakuwa ni hasara si tu kwa watu wa Kishapu, Kinondoni na Segerea bali kwa taifa. Ameonesha mapenzi ya dhati kwa nchi na wanachi si tu kwa kuaca lundo la mahela bali kusimama kidete na kuisema serikali na chama Tawala.

  Nadhani atapita.... Tumuombe:playball:
   
 4. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kura zilipigwa na akashindwa hakuna jingine. Ronald Regan aliacha uraisi huku watu wakimlilia lakini hakuna njisi. Mpenda zoe tunampenda lakini demokrasia ilmkataa na timing zake mbofu za kukimbilia segerea. Una jua yeye na mwanakijiji walitaka kuifanya nini chadema na habari yao ya sera?
   
 5. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chadema italikosa jimbo la Segerea "kijinga", kalaghabao!!

  Walikuwa na choice ya wazi kabisa ya kumuweka mbunge wa Segerea, lakini wakaendekeza kujuana.
   
 6. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ubunge sio mtu bali ni ni ni utafanyakwa wananchi wako. Kweli kama uchaguzi utafanyika kwa kuhonga na kutoa rushwa basi mpendazoe ni best candidate kwa ni anayajua hayo na fedha anayo. lakini kama kampeni itapigwa na wananchi watakuwa na uamuzi wa kuchagua mtu atakaye wawakirisha basi Rachel Mashishanga atakuwa ni candidate mzuri. Huyo mpendazoe wako kwa nin i asiende kishapu na kugombea huko? ukiwakimbia watu uliowaongoza kwa miaka 41/2 halafu unawakimbia.

  Slaa alikwenda kuwaagana kuwaomba wagombea wake wa Karatu yeye umesikia amekwenda kishapu sasa utajuaje amefanya nini. Hatutaki kubahatisha sisi tunataka kitu kamili. Mtapiga kelele na kulia lia mwanzo lakini baadaye mtamzoe atu Rachel na wapiganaji wa kweli mtamuunga tu mkono anapo lichukua jimbo la Segerea. Makongoro hapati ubunge labda wampe watu wa buguruni
   
 7. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Time will tell
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mpiga kura ktk jimbo la segerea, nasubiri kwa hamu na jeuri kubwa kumpigia kura huyo bwana ili kuonyesha kuwa nguvu ya umma iko nyuma ya wapambanaji dhidi ya mafisadi - makongoro, rostam, lowasa na sisiem yao!!!!
   
 9. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Fame, kupendwa, kunaendana na timing pia, hasa katika mambo ya siasa. Huyu Bwana ni mahiri katika kila kitu ila nadhani amekosea timing, ... technical mistake. Kama amefaili rufaa however, nina imani nguvu ya umma iko nyuma yake na atashinda. Tunamhitaji mno katika bunge lijalo, kusema ukweli!
   
 10. n

  njori Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakweli atahitajika hata kufagiafagia mle bungeni na usafi wa nje anaweza sana,tumemtumia sana wadau wake
   
 11. minda

  minda JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  sawa kabisa
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  punguza munkari kwa sasa kisha uutoe siku ya mwisho ya mwezi wa 10 kwenye chumba cha kura.
   
 13. minda

  minda JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  umesema yote
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  fafanua
   
 15. n

  nyamate Member

  #15
  Aug 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magazeti yameandika na kamati kuu imefanya udicteta kumrudisha sasa moto unawaka segerea.Kiinua mgongo alipewa chote na ziada tena ili aje afanye kazi ya kuisambaratisha chadema.Sasa kweli kaweza coz viongozi wa kata wamegoma wote sasa atafanya kampeni na nani?Umaarufu kaupata juzi alipoondoka bungeni hana lolote mi namuona kama mafisadi wengine tu.
   
 16. n

  nyamate Member

  #16
  Aug 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shibuda yuko chadema na anagombea kulekule
   
 17. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yeye na makongoro ni majirani kabisa kweli moto utawaka. Mpendazoe anaweza kushinda ila rachel angekuwa na kzi rahisi kuliko mpendazoe niamini mimi.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  alishindwaje kura za maoni???
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Aug 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema mtu mmoja wapo juu, kosa kuu la Mpendazoe lilikuwa ni timing na strategy mbovu. Kwa mfano kabla ya kuamua kugombea jimbo la Segerea, alitakiwa kwanza awasiliane na viongozi na wanachama wa chadema huko Segerea ili apime hali ya hewa kabla hajajitupa. Naona kama vile alikurupuka bila kujua anakwenda wapi, kwani siku aliyojiunga na CHADEMA tu akatangaza kugombea jimbo lile na kuliachilia la nyumbani kwao ambako alikuwa anajulikana miaka mitano iliyopita. Sasa yeye aliingia kuwania tiketi ile akiwa kama outsider bila kujua insider walikuwa wanamchukuliaje. Nina imani kuwa kama angejadiliana na viongozi na wanachama wa chadema huenda yule aliyeshinda angempisha, au huenda hata angeweza kupata kura zaidi ya alizopata.
   
 20. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Viongozi wa juu walimpa matumaini na hawakuamini matokeo na wakaanza pale pale kusema etiviongozi wa matawi ni wakukodiwa wakati yeye mwenyewe alikuwa na majina hatari sana hii.
   
Loading...