Tatizo ni uroho na tamaa ya madaraka. Mwera alijiona amepanda chati sana. Inasemekana alichangia hata kuvuruga uchaguzi ndani Baraza la Vijana la Chadema mwaka jana akimhofia kijana mmoja anayeitwa Heche, kwamba eti angekuja muangusha kwenye mbio za ubunge. Yote tisa, pamoja na mbinu hizo bado kaanguka chaaaaaali, yaani tukunnyema mpaka chini. Kakimbilia CUF huko ndiko kajidedisha mwenyieweee.