Uchaguzi: Kwanini Tumeamka sasa and not sometimes back | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi: Kwanini Tumeamka sasa and not sometimes back

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Livanga, Aug 13, 2010.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kwanini tumeamka sasa
   
 2. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  je ni kwasababu kila tulichotegemea kimekuwa viseverser au?
  au ndio kusema wananchi sasa wana muhamko wa kutosha . no sidhani kama hayo ni majibu ya kutosha. nafikiri kuna mambo mengi yaliyotufanya sasa tuwaze mara mbili ingawa najua itakuwa ngumu kupata tunachokitaka kwa sasa labda 2015 kwa kuwa tutakuwa na muda mzuri wa kujiandaaa.

  mimi nafikiri ni kwasababu

  He is not a president, he is just a person ambaye amebahatika kuwa mwanasiasa na akaweza majungu na fitna za sisiem sasa ni rais, he is never serious… alipokua mambo ya nje balozi zetu zilioza kwa kuajiri washkaji na wanawake warembo kusaidia wakuu. He was incompetent and never finished his job on time

  Who can forget when he was the minister for industry and trade… he supported mambo ya IPTL, alimtoa Mwandosya pale kifitna…

  Who will forget promises kwa young professionals kwamba atatusaidia… he ended up taking elsie and january kuwaweka ikulu kama washauri wa nchi wasiyoijua [they have been out of the country for long, na hawakusoma hapa

  Now, what is wrong, na najua atashinda?
  Its because he has used the philosophy inayosema make people desperate ili waendelee kukutegemea, haya yanafanywa majumbani [tunakandamiza wanawake], yanafanywa wilayani [kumbukeni nyerere alivyoibana tabora baada ya kuanza ku-export asali, karnaga nk. Kwa kilimo cha kisasa-enzi hilo… aliwamaliza kwani walianza upinzani]… maeneo yenye upinzani ya chakula na shule kwetu hakuna hivyo vitu, nendeni ol Tukai simanjiro au pale kolo kondoa… achilia mbali pekenyela lindi na nanguruwe [n’twara huko]

  Mwamko ni mwema sana…. Lakini bado anona tunaamka kishabiki na si kimuundo --- tulikua wapi kuanzia 2006 tuamke leo bado miezi miwili uchaguzi??? Is this sustainable???

  mimi naona tufanye mabadiliko its now enough budy no more games. lets vote for slaa na kwa upande wa MPs, tuwe makini pia wala si kwa ushabiki ...... lakini kama nilivyosema mwanzo maandalizi yetu ni kwa 2015 kwani kidole kimoja hakivunji chawa.

  H
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kabla sijaanza kuchangia mada yako halisi, ngoja kwanza nianze kwa kukusahihisha kuhusu matumizi ya neno hili vice versa, inaweza kusaidia wengine wengi kwa vile nimeshakutana na neno hili mitaani mara nyingi sana likitumika kama ulivyolitumia hapo juu.

  Vice Versa (siyo "viseverser) ni neno linalomaanisha mpangilio wa mambo kinyume halina maana ya kinyume. Mara nyingi mpangilio huo ni baina ya subjects and objects za sentense; kwamba jambo linalofanywa na subject kwa object pia linafanywa na object kwa subject. Kwa mfano ukisema Malaria Sugu hates christians, and vice versa, una maana kuwa Malaria Sugu (ambaye ni subject) anawachukia wakristo (ambao ni objects), na mpangilio huo kwa kinyume pia ni sahihi, yaani wakristo(objects) pia wanamchukia Malaria Sugu (subject). Unaweza pia kusema nilitegemea Kikwete atakuwa mshindi wa Kwanza akifuatiwa na Mrema, lakini ikawa vice versa, kwa maana kuwa mpangilio huo ulikwenda kinyume na badala yake Mrema ndiye akawa wa kwanza akifuatiwa na Kikwete.

  Neno hili halina maana ya kinyume, yaani opposite. Kama nilitegemea kupata jambo zuri lakini nikapata jambo baya, siwezi kusema nilitegemea jambo zuri lakini nimepata vice versa, nitasema nilitegemea jambo zuri lakini nimepata the opposite.


  Baada ya masahihisho hayo, ndipo nijibu hoja yako kwa maneno yaliyotolewa na Dr. Mwakyembe wakati wa tume ya Richmond kuwa " Watanzania wa Leo siyo Mabwege Tena" Kutokana na utandawazi wa dunia ya leo na kuwapo kwa TV zinazoonyesha channel za nje moja kwa moja, wananchi wa Tanzania wengi wameamka kutambua haki zao. Unfortunately, walioamka bado hawajazidi nusu ya watanzania wote kwa hiyo it is likely kuwa CCM wanaweza kushinda tena kwa asilimia kati ya 48 na 51, huku zinazobaki zinagwanywa baina ya vyama vingine (siyo vya upinzani tena kwa vile wakati wa uchaguzi vyama vyote vinatakiwa viwe na hadhi sawa). Upinzani ni bungeni tu!
   
 4. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  shukran sana kama na wewe umegundua kuwa vice versa doesn't mean opposite. Naomba nikurank as one among the good reader and but not much understanding.


  baada ya hapo sasa nikwambie kwanini nimesema sio mwelewa mzuri. I said we are not prepared for 2010 instead tujiweke tayari kwa 2015 na sababu kubwa ni kwamba tumechelewa kuamka kama tungekuwa tulionyesha ari ya kuking'oa madarakani 2005 basi mwaka huu mambo yangekuwa tofauti kabisa. ila tunachotakiwa kufanya sasa ni kuwa na WABUNGE WENGI WA UPINZANI ili waweze kuipa moto serikali ya CCM. kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa bunge utaungana nami kuwa kama serikali ikitoa mada ya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya utasikia bunge karibu lote linapiga makofi ilihali wanajua kabisa kuwa sio sawa. sasa tunataka watu ambao watakwenda kusema hapa hapana hii sawa na hii sio sawa. vinginevyo hatutakwenda. pili tunaitaji watu wanaomwamini mungu. sio kama viongozi wa sasa ambao kila kukicha wako mlima OLDONYO LENGAI WAKITAMBIKA WASHINDE.

  Take alook at the MP's ambao wamekwenda kutetea maslahi ya wananchi wao alafu compare na tanzania
  See what happens in the parliament of some countries including Tanzania!!

  View attachment parliaments that works.docx

  Tell me is this ok for you??????????? TANZANIA
   
Loading...