CUF ni Chaguo la WaTanzania 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF ni Chaguo la WaTanzania 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Aug 14, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huu ni uchunguzi wa muda mrefu ambao hata wewe ndugu msomaji hapa kama utajichungua basi mwisho wake utagundua kuwa wewe ni CUF damdam ,yaani hakuna ubishi juu ya jambo hili kamfano kadogo chukulia wewe upo Chadema au lichama lingine ghafla unaamua kutoka chama hicho ,basi chaguo lako la mwanzo litakuwa CUF, tatizo ambalo pia linakuhakikishia kuwa watu wengi ni CUF ni pale panapotokea patashika katika chama kingine ,ili mtu aone wengine watakasirika basi uamuzi wake wa mwisho ni kujiunga na CUF ,iwe peke yake au huondoka na kundi zima na kujiunga na CUF,tena hapo inakuwa ndio amefanya jambo ambalo litawauma sana viongozi wa kule anakotokea.

  Sijasikia kundi fulani kutoka chama na kusema wataunga mkono NCCR au Chadema bali utasikia wanajiunga na CUF.Na jambo lingine ni kuwa ikiwa Chadema hawatopata kiti hata kimoja cha ubunge unafikiri chama hiki kitasurvive au ndio utakuwa mwisho wake ,historia inaonyesha chama kilichivuka mtihani huu ni CUF pekee,kilichofanya maajabu kutokea mshindi wa pili lakini hakuna ubunge hata pamoja !!!
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  BTW CHADEMA karibu yote ya tarime imehamia CUF. mWERA, HECHE, na viongozi wengine kibao. Kwa kweli bora niiipigie kura cuf,chadema siwawezi na agenda zao zisizo wazi.
   
 3. Mujuni2

  Mujuni2 Senior Member

  #3
  Aug 15, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa huu ndio ujuha, this is the kind of trap that CCM wants opposition parties to fall into, and you fools are driving right into it, with your eyes wide open, instead of joining to fight the common obstacle, you folks are fighting against one another , this is totally insane to say the least.
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  cuf chaguo la watanzania,....? what a pipe dream...!
   
 5. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yawezekana anamaanisha Watanzania wa Mikoa ya Pemba.
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Aug 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  cuf , hawa cuf......
  mgombea wao ndo huyu Lipumba........................?
  CHADEMA haina muda wa kurumbana na kichama hiki kilichojichimbia PEMBA, sie tunazungumzia zaidi ya jimbo moja la Tarime, sie tunaangalia namna gani kama Chama kinapeleka wabunge wakutosha Bungeni, tunajua adui yetu KISIASA NI ccm , wala si cuf, wakati cuf inafikiria kuhuisha umaarufu wa CHADEMA, Sie tunapambana na yule anaefuja uchumi wetuu, yule anaelea kina Mramba, Rostam Aziz na aina zingine za mapapa na mabaka uchumi.
  cuf .....HAMJUI HATA ADUI YENU NI NANI, LIPUMBA hawezi kupata kura hata laki 4, Tanzania Bara., haihitaji uwe na nguvu za kichawi kujua hilo.
   
Loading...