KakaJambazi
Reaction score
5,347

Profile posts Latest activity Postings About

  • hello members of JF inasikitisha watanzania kuona tunafika kwene hatua ya kuuana kisa ni kuchinja? imani zetu zimeingiliwa na pepo gani mbona zaman vitu hivi havikuwepo? Juzi nimetembelea mkoa wa Kagera nikiwa pale Bukoba Mjini nilishangaa kusikia kuwa kutafta Nyumba ya kupanga unaulizwa dini yako?? unataka kupanda boda boda mtu anaanza kuuliza wewe ni dini gani hii ni hatari sana hatua za maksudi zinatakiwa kunusuru hii hali.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top