Kesi ya traffic ya Chenge Itafutwa kiujanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya traffic ya Chenge Itafutwa kiujanja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SHUPAZA, Aug 15, 2010.

 1. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimepata taarifa toka kwa mdau mmoja toka dodoma ambaye alifanikiwa kujipenyeza
  kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya chama cha sisiem akawasikia wakisema wataicheza
  tu kichama kuweka mambo level kwa wagombea ubunge wa chama chao ambao wana kesi
  lakini huyu andrew chenge walimtaja kwa jina kuwa sehemu kubwa wamesha icheza na
  huyu jamaa hata kutwa na hatia yoyote..............................................................................wame
  ongea maneno mengi sana sasa mdau yoyote mwenye taarifa zaidi naomba atuletee hapa
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kwani hufahamu Tanzania kuna matabaka ya watu. Chenge aka vijicenti na mahohehae. wataendelea kutafuna fweza za walipa kodi tu!
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama inawezekana kuichezea kesi ya mabillioni, kwanini washindwe kuichezea kesi ya askari barabarani.?
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Acha umbea wako. Kwanini huyo aliyekupatia hizo info asimalizie zote?.
   
Loading...