Ninampango wa kuchukua Form ya Urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninampango wa kuchukua Form ya Urais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaJambazi, Aug 17, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili niitundike kwenye fremu ya duka langu.
   
Loading...