CCM yaandamwa na u-rangi na ukabila: JE TUTAFIKA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaandamwa na u-rangi na ukabila: JE TUTAFIKA?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Aug 16, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]WANASEMA MSOMALIA


  [​IMG]
  Wanasema MMaLAWI>>>>>>
  [​IMG] Sijui wapi wna JF mtanisadia  [​IMG]


  [​IMG] Sijui Wapi? Iringa? Pakistani?  [​IMG]
  Sijui wapi hii mtu?

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. m

  masasi Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what goes around comes around,dhambi ya ubaguzi waliotaka kuipandikiza chadema inawarudi,mungu endelea kutenda maajabu,wauunguze na moto wako hadi hiyo dhambi ya ubaguzi iishe,long live chadema
   
 3. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Jibu rahisi wote hawa si raia wa Tanzania tena huyu wa mwisho alihusika na udalali wa pori la Loliondo.Wote ni wezi wa fedha na rasiliamali za watanzania
   
 4. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hiyo picha ya Bashe ni baada ya kuvuliwaa uraia na kupokwaa ushindi wake wa kura za maoni ya ubunge kule nzega???????
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa!!1 na Mwakalebela wamesema sio Mhehe!!!!
   
 6. c

  chach JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Na bado mengi yatakuja
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tunaelekea kubaya
   
Loading...