Naililia ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naililia ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Aug 16, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NASHANGAZWA NA MAAMUZI YA CCM KUSEMA HUSSEIN BASHE KUWA SI RAIA WA TZ,NA KUKUMBUSHIA HISTORIA YA ULIMWENGU PIA,SASA NI WAZI KWA YEYOTE AMBAYE ATKUWA KINYUME NA MATAKWA YA MABWANA WAKUBWA LAZIMA ZENGWE ASUKIWE,KWANINI CCM WABAGUZI NA WADHARIRISHAJI KIASI HICHO?KWANINI WAVUMILIWE?WANACHAMA WANAFAHAMU KUWA CCM SI BABA NA MAMA YAO?NI MUDA WAO KUFANYA MAAMUZI MAGUMU,NI MUDA WA MABADILIKO:smash::frusty::crying:
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Nimesikitishwa sana Nime soneneshwa sana, Nimestahajabishwa sana kwa kile ambacho chama chetu kujtoa maaamuzi ya ajabu na kushindwa kuthibitisha kuwa hawawezi kujirekebisha esp viongozi wanao tuongoza.

  Tatizo kama hili lilitokea waklati wa kipindi cha uongozi wa Ben Mkapa kwa J. Ulimwengu kuhusishwa na tuhuma kama hizi za H.Bash. Sasa sielewini ni kuna jinamizi gani ambalo limekifunika CCM mpaka wanashindwa elewa nini wanatakiwa kukifanya na kipi hakitakiwi kufanyikaaa?
  Matukio kama haya ya kuvuana ngua hadharani hakomi wala kwisah mkidhani mwakijenga chama huku kumbe mwakibomoa taratibu mwasahau maovu mengine makubwa yanawashinda kurekebisha huku mwarekebisha yale yanayokilegeza chama, Muda wote huuu hawa J.Ulimwengu na H. Bashe wamekituminia chama tena makada wakubwa kweli kweli leo hii mwaja kuwatendea hivi kuwavuwa nguo hadharani kisa urai wao na mwadai wazi mlikuwa mwashirikiana na Uhamiaji hii Idara ni moja ya idala zlizo na uozo wa kimaadili na wakupindukia na bado CCM mwadai mrishilikiana nao kwa kupewa Details, Isitoshe ipo siku hata Kinana mtamwambia sio Raia wa TZ na hii yote ni baadhi ya viongozi wa CCM wenye dhamana ya kuongoza na wana kiuka mio ongozo na maadili.

  Sito shangazwa mwaka huu kupoteza majimbo mengi sana na wala sitojuta hata kidogo naliweka wazi hilo kwa wana CCM, alicho kisema Marehemu H. Kolimba (KTB-CCM) CCM IM EKOSA DIRA sasa haya maneno yanaanza kutimia wazi wazi, na haya yote yanatokea na kutokuwa na wataalamu wa kuona mbali katika siasa za CCM ndani na kuna upuuzi unaofanyika ambao sio wa kisiasa
   
Loading...