Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Japo vyombo vya habari vya serikali vimejitahidi kukaa mbali au kimya kwa maswala yanayohusu mwenendo wa mgombea Uraisi kwa tiketi ya chadema na kujitahidi kufunika habari zake kwa kuweka habari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni Thread maalum kwa ajili ya Kampeini za uchaguzi kwa njia ya simu. 1. Wadau mtakuwa mnaingiza sentensi fupi fupi za kampeini zinazofaa kutumwa kwa njia ya simu kila siku. Sentensi iwe yenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Closed
Wana JF, Nilibahatika kushuhudia uchaguzi wa Kyela. Nilichogundua 1.Hata uwe na pesa kiasi gani-huwezi kuwaridhisha wana Kyela, jamaa wanapenda pesa kuliko wachaga, wanavuta kwa kila mtaka kura...
0 Reactions
166 Replies
20K Views
Ndugu waTanzania napenda kuchukua fursa hii ili kila mpenda amani wa Nchi hii na walio nchi za Nje waweze kufahamu kuwa ,picha inayopatikana katika kura za maoni kupitia Chama kikuu Tanzania CCM...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF, kama tulivyozoea kuoa chama tawala kikitumia pesa nyingi kuhahakisha kinashinda chaguzi mbali mbali hapa nchini. Ninaomba sasa tukubali kabisa kuwa uchaguzi mwaka huu hautakuwa huru na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi namuaona kama mmoja wa wajenga Hoja makini sana na mtu mwenye maendeleo yake mwenyewe na Taifa kwa ujumla, koz atleast ameweza kutoa ajira kwa Watanzania Kadhaa katika Kampuni yake. Lakini...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
mheshimiwa rais mpendwa jakaya mrisho kikwete sio wakati wote shujaa anaweza kupataikana kwa mema tu shujaa anaweza kupatikatika kwa kukubali uzembe wake katika uongozi wake huu ndio ushujaa wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ningependa Dr Slaa atoe ahadi hizi: 1. Akiingia madarakani fedha zote za mapato yote ya serikali zitokanazo na madini ya nchi hii zitumike katika kusomesha watoto wa nchi hii -- kuanzia primary...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni wazi kwamba baada ya kura ya ndio kushinda katika kura za maoni Zanzibar kutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa/serikali ya mseto baina ya chama kitakachoshinda na vyama vitakavyo shindwa je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ufisadi wa kutisha • Trilioni 1.7/- zatafunwa serikalini na Edward Kinabo SERIKALI ya Awamu ya Nne imeendelea kukumbwa na jinamizi la matumizi mabaya ya fedha za umma (ufisadi), baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa. Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana akiwa kwenye Uwanja wa Manyema mkoani Kilimanjaro alizindua rasmi kaulimbiu ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ambayo ni ‘CHADEMA MWAKA 2010...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu, hatua ya Msajili wa vyama kukataa kukisajili Chama Cha Jamii ((CCJ) imekuwa ni baraka kwa Chadema bila kila pande kujijua. Iwapo CCJ ingesajiliwa, moto wa Chadema usingepamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete leo amepatwa tena maswaibu yaliyomkuta Mwanza wakati wa kampeni 2005 akiwania kura za Watanzania huko Mwanza, safari hii siyo kwa kukabwa na Msukuma, bali afya kutetereka...
0 Reactions
255 Replies
31K Views
Nimesoma posts nyingi sana humu za baadhi ya watu na naona ni wale wanaompinga Dr. Slaa. wengi wao wanasema huyu ni mkatoliki mara ni padre n.k. napenda kutoa angalizo kwa watu hawa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu wana JF wote, Ukiiangalia Tanzania ya leo kwa umakini inaonekana kana kwamba mtu hawezi kuendelea bila kumrudisha mwenzie nyuma kwa namna fulani. Angalia nyanja zote unazozijua wewe, anzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
PCCB decalred yesterday that investigations on CCM bigwigs and other members recently implicated in election related scandals will be completed before the forthcoming General elections...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Former Ugandan President Binaisa is dead Kwa wale wanaokumbuka enzi za miaka ya 80, Mtamkumbuka huyu senior Queen's Counsel (QC). Former President of Uganda Godfrey Lukongwa Binaisa QC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
January Makamba, mtoto wa katibu mkuu CCM na msaidizi wa raisi uandishi wa hotuba, ametangazwa kuwa mshindi katika kura za maoni jimbo la bumbuli baada ya kuwashinda wagombea wenzie kwa zaidi ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Je kama baadhi ya viongozi katika Serikali ya Kikwete Walishiriki kufungua matawi ya DECI Tanzania Je...utapeli ... DECI nalo Kombora la Dr. Slaa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom