Dr Slaa apitishwa kuwa raisi kwa kura za maoni za Dailynews | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa apitishwa kuwa raisi kwa kura za maoni za Dailynews

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ejchao7, Aug 7, 2010.

 1. e

  ejchao7 Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Japo vyombo vya habari vya serikali vimejitahidi kukaa mbali au kimya kwa maswala yanayohusu mwenendo wa mgombea Uraisi kwa tiketi ya chadema na kujitahidi kufunika habari zake kwa kuweka habari za wagombea wengine wa uraisi wa vyama vya upinzani, hali hii inazidi kuvipa taabu vyombo hivyo kutokana na wananchi wanavyomkubali mgombea huyu.
  Katika kile kinachoonekana kuuficha ukweli halisi wa nguvu ya ushawishi wa hoja aliyonayo mgombea huyu, vyombo hivi vya serikali vimeanza kukwepa hata kumlinganisha na kiongozi aliyepo madarakani.
  Hili linajionesha dhahiri kwenye website ya gazeti la serikali la kiingereza la Dailynews ambapo wameweka opinion poll ya Dr slaa huku wakiweka swali linalouliza 'will Dr. Slaa win the presidential race?'
  Kama lengo ni kujua kama Dr Slaa atakuwa raisi kwanini wasiweke na wengine wanaogombea naye pia kwenye hiyo poll ili tuone uwiano wake kulingana na wagombea wengine?

  Hili wanajua litakuwa ni aibu kwamba hali halisi itakuwa ya kufedhehesha maana hata katika opinion polls zinazotolewa hapa JF, Dr. Slaa anaongoza kwa mbali sana ukilinganisha na wagombea wengine including the president JK.
  Ninafafanua na kutasfiri staili hii ya Dailynews inataka kuficha ukweli unaoonekana wazi kuwa wagombea wengine wa uraisi hawana mvuto kulinganisha na Dr. Slaa mgombea uraisi wa tiketi ya chadema.
  Naelewa Pia Dailynews wanaweza wakaogopa kuwa kama wakimlinganisha Dr Slaa na Jk kwenye polls zao, itawapa shida katika kuiba kura kama walivyozoea jambo ambalo hawataki lifahamike.
  Hii ni jitihada wanayofanya ya kuwaficha watu kuhusu jambo ambalo ni wazi na lisilo na ubishi
  Japo katika yote hayo bado Dr. Slaa anaongoza kwa wingi wa watu wanaomkubali kuwa potential presidential candidate, kufuatana na majibu ya polls hizi za dailynews hadi sasa ambapo bado zinaendelea kupigwa.

  You already voted today
  Mini Poll ResultsWill Dr Slaa win the presidential race?Yes 125 votes. (66.14 %)[​IMG] Maybe 17 votes. (8.99 %)[​IMG] No 47 votes. (24.87 %)[​IMG] Total votes: 189Powered by: SimPoll v.1.0
  click the link for source of the news: Quick Poll | DailyNews Election Portal
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,996
  Trophy Points: 280
  "YANA MWISHO"-N Balisidya
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  CCM kila kona mpaka vyumba vya kulala kama MOSSAD vile.
  LAkini always haki hushinda. Mie napata taswira sahihi ya RUSHWA ktk uchaguzi kwa kuangalia mwenendo wa vyombo vya habari hivi sasa.
  Angalia walivyokuwa wanashabikia kura za maoni za CCM ukidhani ndo uchaguzi tayari ilhali hata kampeni bado, ukisoma kwa makini ripoti za vyombo vingi vya habari utaona wanafanya assumption kana kwamba waliopita kura za maoni za CCM wameshakuwa wabunge wanasubiri kuthibitishwa na kuapishwa. Na ukienda ndani zaidi utaona namna walivyofanya PR bonanza ionekane kwamba kura za maoni za CCM ni National epic ya uchaguzi mkuu.

  WATANZANIA SIYO MABWEGE TENA.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hata huyo aliyeweka hiyo Poll anaonekana sijui alikuwa anawaza nini! Haina maana hata kidogo, tena ukiangalia ni gazeti la serikali, huo ni uoga wa hali ya juu.
   
 5. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM matumbo moto safari hii. Ukweli wanaujua na wanaona jinsi Dr Slaa anavyokubalika na Watanzania.
  Kwa muda huu CCM pamoja na mihela waliyokuwa nayo ni lazima watafute njia mbadala ili kuendelea kutawala.
  Kwa ushauri wa bure kwa CCM wakubali kushindwa kabla ya kupiga kura maana safari hii Watanzania wameamka na wana nguvu ya Sunami katika kudai nchi yao.
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,953
  Trophy Points: 280
  umeona enhee?
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ila mi nadhani si vibaya kubadili swali na kuuliza kama wanafikiri atashinda, hii pia ni dalili nzuri. Ukiongea na professional pollsters watakueleza kuna significance kubwa whether unauliza kama utamchagua nani na akachaguliwa mgombea wako, au kama UNAFIKIRI kama anaweza kushinda na watu wakasema ndiyo.
  Electability ni hatua ya kwanza muhimu na ninadhani ndo tofauti kubwa kati ya Dr Slaa na wagombea wengine w upinzani HE IS ELECTABLE.. na hii ndo threat kubwa kwa CCM
   
 8. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na hapo ndipo vichwa vinapowauma, shauri yao CCM walidhani kuwa mambo hayatageuka kazi wanayo.
   
Loading...