Ilani ipi kutekelezwa baada ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilani ipi kutekelezwa baada ya uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabewa, Aug 7, 2010.

 1. Kabewa

  Kabewa Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ni wazi kwamba baada ya kura ya ndio kushinda katika kura za maoni Zanzibar kutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa/serikali ya mseto baina ya chama kitakachoshinda na vyama vitakavyo shindwa je baada ya muungano huo ni ilani ipi ambayo itasimamiwa na kutekelezwa ? kwa kuwa iko wazikwamba wailioshinda na walioshidwa wataunda seri kali je kuna sababu ya kuandaa ilani ya pamoja ili mambo yaende sawa? katika utekelezaji. kwani mambo yatakua yaleyale kama ilani zitakuwa tofauti na itekelezwe moja na vyama tofauti nisaidieni hapa please
   
Loading...