Nimejaribu kutafakari kwa kina mapinduzi ya vyama bila kuihusisha na mabadiliko ya katiba ni sawa na kucheza na majitaka,kila ukinawa bado ni mchafu.Sasa nauliza kuna ulazima wa kutetea...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Kufuatia kauli yake kuwa Marehemu Idris Abdul wakil alikuwa darasa la saba..
Zanzibar yambana Mbowe awaombe radhi
Mwinyi Sadallah
Ni kwa kauli Rais mstaafu darasa la saba
Mwenyekiti...
Watawala wetu walioshindwa wamejaribu kutengeneza siasa ambayo si siasa tena; wanajaribu kuichakachua na kufanya siasa isiwe vile ilivyo. Siasa ni pamoja na kejeli, utani, kebehi, uchokozi na hata...
Nimrod Mkono kupoteza ubunge
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 August 2010
MBUNGE mteule wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ameingia katika kashfa ya rushwa ya uchaguzi na huenda...
Joel Kimbisa
2010-09-01
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa...
Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi 2010 nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana uandishi wa habari kwenye magazeti yanayochapishwa hapa nchini ili kuona ni kiasi gani yamejikita katika kuandika...
Katika kipindi hiki cha kampeni ambapo vyombo vyingi vya habari vikiwemo vya umma vimeamua kuegemea upande wa CCM, na vikipotosha habari dhidi ya upinzani, CHADEMA wanapaswa sasa kutafuta njia...
Nguvu au Udhaifu wa vyama viwili,CCM na CHADEMA vinavyochuana kuingia ikulu iko kwenye kashfa nzima ya EPA na yote yaliyojiri kwa CCM kuingia madarakani kwa kipindi kilichopita.
Ni jinsi kila...
Kuna habari kuwa wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete akiwa Mbalizi mkoani Mbeya alivuna wanachama wapya wapatao 400 wengi wao wakiwa wanachama wa Chadema akiwemo aliyekuwa Katibu...
Mimi sikifagirii chama hiki cha CCM... lakini situation inaonesha kimeshashinda, kwasababu Zenj wamesha vunjwa mbavu kwa kumsimamisha Dr. Shein, na kumleta huku bilali ni saikolojia kubwa sana...
Nimeona watu bado hawajaweka ilani ya Chadema, hasa baada ya MWJJ kuipigia debe kabla ya kutoka! Sijui topic iliishia wapi! But anyway...hii hapa!feel free kuipitia!
Mgombea kiti ca uris kwa ticketi ya CCM JK siku ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani baada ya kupata nafuu kwa kile kilichomtokea alirudi jukwaani alizungumza haya tena kwa kujiamini.
Nanukulu...
Shirikisho la michezo ya Idara za serikali, wizara na ofisi za wakuu wa mikoa(SHIMIWI) limetangaza kusitishwa kwa michezo hiyo iliyokuwa ifanyike Tanga 17th September -2nd October.
Wadadisi wa...
Leo katika kipindi chake cha mapitio ya magazeti cha 06.50am asubuhi, kituo cha television cha ITV kinachomilikiwa na IPP Media kilifanya tukio ambalo sikulitegemea kwa kwa kituo hicho...
Wakubwa,
Hi ni kauli inazungumzwa sana hasa na MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI mitaani na kauli hii hii hii ilizungumzwa pia na mtoto wa hayati baba wa taifa kwamba ni kweli ukiweka pembeni...
KATIBA mpya
Tume huru ya UCHAGUZI
Ofisi huru ya MSAJILI wa vyama
TAKUKURU huru
Kuiondoa MAHAKAMA kutoka c idara ya mahakama na kuwa mhimili kamili ambapo CJ anakuwa na status sawa na speaker wa...
Hapa kuna mambo jamani hivi mtu kweli,tangu aingie madarakani hajawahi hata mara moja kutembelea baadhi ya sekta muhimu zilizopo ndani ya kata yake mpaka anaondoka madarakani halafu leo anagombea...
Helikopta ya Slaa yapata tabu kutua Mpwapwa
Thursday, 02 September 2010
Salim Said, Mpwapwa
HELIKOPTA ya mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chadema, Dk...
Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.
Ni matumaini hali hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.