Mheshimiwa jk bado unaweza kuondoka katika historia kama shujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa jk bado unaweza kuondoka katika historia kama shujaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Aug 6, 2010.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mheshimiwa rais mpendwa jakaya mrisho kikwete sio wakati wote shujaa anaweza kupataikana kwa mema tu shujaa anaweza kupatikatika kwa kukubali uzembe wake katika uongozi wake huu ndio ushujaa wa kweli mwaga manyanga na kaa kando na msapoti dr.slaa katika uchaguzi huu.

  Mpe miaka mitano ambapo tuna imani ya kua ana nafasi ya kutuletea mengi na mazuri kuliko wewe matokeo yoyote mazuri ya kazi ya dr.slaa ambapo hatuna mashaka itakua sifa na ushujaa kwako kwa kusoma mishale ya wakati mungu ibariki tanzania
   
 2. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Akifanya hivyo atakuwa Shujaa wa Dunia nzima na kuweka historia ya kwanza Duniani kwa kumpisha mpinzani wake...

  Sidhani kama atafanya hivyo unavyomshauri manake itakuwa ni weakness itakayomkosesha hata kazi ya NGO katika mashirika ya kimataifa na kwingineko aki-retire.
   
 3. B

  Bettina Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr misifa aachie ngazi? duuuuh!
   
 4. R

  Ramos JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hana haja ya kuachia, ataachishwa na wananchi...
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  even funnier than i thought..mmhh
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nchi ya Tanzania bwana... yaani mtu anaweza kufikiria urais ndani ya miezi minne na akapewa... kweli hajui tuendako....
   
Loading...