Fate of 'corrupt' aspirants to be known by October, says PCCB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fate of 'corrupt' aspirants to be known by October, says PCCB

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DoubleOSeven, Aug 6, 2010.

 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  PCCB decalred yesterday that investigations on CCM bigwigs and other members recently implicated in election related scandals will be completed before the forthcoming General elections...!!!

  ATABAKI NTU HAPO kama ni kweli???

  Sasa nikupe huu mchapo wa rushwa ilo wazi kabisaa - Polisi wanauza stickers za wiki ya nenda usalama barabarani kwa Shs 5000. Kwanza hizi stickers ni UPUUZI wa hali ya juu na INSULT on intelligence ya wenye magari. Kila mwaka tunalipa ada ya transport licence na hii ni baada ya gari kukaguliwa....like MOT thing kwa Wainglish. Baada ya ukaguzi ule unalipa pesa na unapewa ile sticker ya mwaka mzima- inaitwa LESENI. Hii ingine ya wiki ya Nenda salama ya kuchangisha watu kwa nguvu YA NINI??? Hii pesa inakwenda wapi?? Kwa nini msiwaache Polisi wafanye kazi zao za kulinda raia na si KUCHUUZA STIKA?? Sitashangaa kuna rushwa flani hapa. Kamfano tu nimetoa.

  HAYA ya RUSHWA kura za maoni nayo yananuka kweli kweli na ni wazi mno, ndo maana nauliza NANI msafi humo?? Moral na ethical standards za hao WACHUNGUZI wenyewe je??
   
Loading...