SMS za Uchaguzi: Tupe yako, Chukua Moja, Sambaza Ujumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMS za Uchaguzi: Tupe yako, Chukua Moja, Sambaza Ujumbe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mbogela, Aug 7, 2010.

 1. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hii ni Thread maalum kwa ajili ya Kampeini za uchaguzi kwa njia ya simu.
  1. Wadau mtakuwa mnaingiza sentensi fupi fupi za kampeini zinazofaa kutumwa kwa njia ya simu kila siku. Sentensi iwe yenye namna yoyote ya ushawishi. Hatuna haja ya kupima na kubishana juu ya ubora wa hiyo sentensi.
  2. Kila siku chukua sentensi iliyo nzuri na kuituma kwa ndugu, Jamaa na marafiki walikoko kwenye phone address book yako na wakumbushe kuiforward kwa wengine pia.
  3. Tunahitaji kuwa na ujumbe kwa njia ya picha zinazowezekana kuchotwa kwenye simu pia (kama mikutano ya hadhara na umati wa watu, misafara ya magari ya kampeini, Helicopter na ndege za kampeini) nazo zitatumwa kwa wadau mbali mbali kwa mtindo ule ule (MMS)
   
 2. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  "Sihitaji kura za wafanyakazi" J.M. Kikwete (CCM)
   
 3. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,432
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kwa heri MAPINDUZI wa kukumbatiaMafisadi, karibu DEMOKRASIA wa MAENDELEO.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wakati wa mabadiliko ni huu, ccm sasa basi
   
 5. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tumia haki yako ya kura kutokomeza mafisadi
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,373
  Likes Received: 5,120
  Trophy Points: 280
  "nahitaji kura za wafanyakazi"

  "wafanyakazi nipeni kura zenu"

  "mfanyakazi kura yako ina thamani kubwa kwa watanzania"
   
 7. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Dr. Wilbroad Slaa ni mwarobaini wa matatizo ya Watanzania
   
 8. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ikulu bila ya kuwa na wabunge makini haina maana, chagua mbunge makini kutoka CHADEMA
   
Loading...