Elections 2010 Brother Shigongo...

Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
422
Mimi namuaona kama mmoja wa wajenga Hoja makini sana na mtu mwenye maendeleo yake mwenyewe na Taifa kwa ujumla, koz atleast ameweza kutoa ajira kwa Watanzania Kadhaa katika Kampuni yake. Lakini kwa nini mtu kama huyu mwenye kumiliki chombo cha Habari tena Yanayosomwa na wengi lakini anakua anashindwa kila anapojaribu kwenda Mjengoni???

Alishindwa na Mar. Amina Chifupa (UV CCM) this time kaenda kwao huko Buchosa lakini bado wamemtosa....Sababu inakua ni nini???? Au hii ya kuwaumbua watu yaweza kuwa Sababu??????
 
kuna nini huko mjengoni????? kama unaweza kuwasaidia watu ukiwa huku nje si ndo vizuri zaidi! na isitoshe kama unaweza changia hoja si upeleke kwa mbunge wako naye atawakilisha mjengoni! lazima wewe?
 
Labda kwa kuwa magazeti yake hayajengi taifa kubomoa.......
 
Kama issue ni kutoa ajira tu hata mtu anayetengeneza chakula chenye sumu ya kuua watu naye utamuona wa maana? Si anatengeneza ajira naye ?

Tupe kigezo zaidi ya kutengeneza ajira.
 
kuna nini huko mjengoni????? kama unaweza kuwasaidia watu ukiwa huku nje si ndo vizuri zaidi! na isitoshe kama unaweza changia hoja si upeleke kwa mbunge wako naye atawakilisha mjengoni! lazima wewe?

Yawezekana ushawishi wake ni mdogo maana pale kinachotakiwa siyo ujusi wa taaluma bali nijinsi yakuwashawishi kwani uvuvuzela nikipaji kama hujui kuupepeta lazima uambulie 0:horn::blah::tape2::A S thumbs_down:
 
SHigongo deserves be rotten in jail.... he explore women, fake stories, smear people with his choreographed fake investigation, disgust people with his front pages x-rated photos, pretend to be a good "believer" etc. etc.

Napongeza na kufarijika kila anaposhindwa kwani he is not someone needed in the parliament
 
Mhnnn is it is??i am waiting JF's comment!!:tape2:
 
SHigongo deserves be rotten in jail.... he explore women, fake stories, smear people with his choreographed fake investigation, disgust people with his front pages x-rated photos, pretend to be a good "believer" etc. etc.

Napongeza na kufarijika kila anaposhindwa kwani he is not someone needed in the parliament

I think this is what Kills him..... Kuumbua watu sio kitu kizuri.......
 
Tatizo la nchi hii sasa hivi, wanasiasa wa ukweli hawagombanii, wanaogombania wasanii.
 
Na Shigongo si Msanii...huyo...Mwalimu wa kimataifa wa UJASIRIAMALI.....Mzee wa mtizamo safi.....But Behind the Scene another.... KILLER...
 
Huko Buchosa watu hawajui uwazi, ijumaa au daily news wala tanzania daima. Ni wachache sana tena sana . Wote tunajua vijijini kwetu mpaka mtu atoke mjini aje na gazeti ndo lizunguke nyumba kadhaa. Kwa hiyo Shigongo Tunayemjua sisi watu wa mujini sio shigongo wanayemjua watu wa buchosa.

Na sometime wanachi wa nje wa miji ndio brave zaidi kuliko sisi wa mujini.We angalia hata wabunge wa upinzani wengi wanataoka wapi. Sio musoma mjini laini tairime. Sio Arusha mjini lakini karatu.
 
SHigongo deserves be rotten in jail.... he explore women, fake stories, smear people with his choreographed fake investigation, disgust people with his front pages x-rated photos, pretend to be a good "believer" etc. etc.

Napongeza na kufarijika kila anaposhindwa kwani he is not someone needed in the parliament
hata mie napongeza
Arudi kuunda kikundi cha majungu na kusuta watu ndo ajira yake
 
I have so many unanswered questions about this brother..napata kizunguzungu kumjua ni mtu wa aina gani
 
Tatizo lake hakufanya utafiti wa kutosha kabla hajagombea,kuwa maarufu mjini wakati kwenu hawakujui hilo nalo ni tatizo lililofanya aanguke.
Kwa kuwa ana kazi nyingi za kufanya nadhani zinamtosha na aachane na mambo ya siasa kwani hayawezi.
 
..na nasubiri kusikia atasemaje baada ya kukosa hii chance,manake kwa jinsi alivokuwa anajielezea katika magazeti yake ni kama vile jimbo la Buchosa lilikuwa obviously lake, maana anasema aliingia katika kinyang'anyiro baada ya maombi meengi ya wanabuchosa..tokea 2005 na walikasirika sana alipoacha kugombea 2005, mwaka huu ikabidi awaridhishe, i want to hear from him what happened?vipi walomuita wamemtosa tena?
 
Tumefanya bunge letu kweli kokoro..naye angekua mtunga sheria..???
 
Questt-haya mamabo ya kura za maoni kijumla ndio safi sana kwa wananchi maana kama hawakuibiwa na kila kitu kimekwenda safi,hawawezi kuja kumlaumu mtu. Kama alivyosema Mtazamaji-unaweza kuwa mtu wa ajabu mjini lakini ukashinda uchaguzi vijijini na unaweza kuwa excellent mjini jamaa wakakutosa, wao wana mambo yao wanayoyangalia tofauti kabisa na wasomi au watu wa mjini mnayoangalia.
Ila kama mtu unapenda kuwasaidia watu wa jimbo hilo, usiwakomoe eti kwa sababu hawakutaka uende bungeni, endelea kuwaletea ulivyoahidi kwani sidhani kama vingi vinahitaji driving licence ya ubunge.
Katabazi.
 
kuna nini huko mjengoni????? kama unaweza kuwasaidia watu ukiwa huku nje si ndo vizuri zaidi! na isitoshe kama unaweza changia hoja si upeleke kwa mbunge wako naye atawakilisha mjengoni! lazima wewe?

Bwana Mahesabu,
Nakubaliana na wewe , kuwasaidia wananchi na kuisaidia nchi siyo BUNGENI PEKEE, Hata nje ya BUNGE, Kwasababu mwisho wa siku utakachosaidia ndio kitakacholeta imani kwao, Labda kama kwenda bungeni kuambatane na AGENDA Binafsi za mtu.:bored:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom