Mshindi wa kura za maoni mahakamani kwa rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshindi wa kura za maoni mahakamani kwa rushwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kamakabuzi, Aug 6, 2010.

 1. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa.

  Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na vielelezo ilivyopokea toka takukuru, mtu huyu ana kesi ya kujibu. Kesi itasikilizwa tena tarehe 28.8.2010.

  Je huyu anaweza kuondolewa katika kugombea wakati kesi haijahukumiwa?

  Je akina Mramba status yao ikoje?
   
 2. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rushwa ni sehemu ya mfumo wa CCM. Hivyo huwezi kutenganisha CCM na rushwa.

  tutatarajia watuhumiwa wote wa rushwa na ufisadi kupitishwa na CCm kwa maelezo kuwa nin watuhumiwa na hawajapatikana na hatia katika mahakama zetu

  Kwa wenzetu kule Rwanda ukituhumiwa tu huna tena sifa ya kufanya kazi katika public office. Tafakari.

  Hivyo kama unataka kuondokana na rushwa "VOTE CCM OUT OF OFFICE. NA WAKATI ULIOKUBALIKA NDIO HUU!!"
   
 3. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Dr. Slaa ndiyo suluhisho!
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  KIDUMU chama cha mapinduzi
   
 5. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  CCM(Chukua Chako Mapema)hawa jamaa katika kucheza fouls hawajambo na ndiyo maana utasikia wanasema tutashinda kwa gharama yeyote ile;sasa ndiyo mnategemea rushwa iishe thubutuuuuu!Na waingia madarakani wanageuza ofisi za umma kama kampuni zao binafsi ili hali ni mali ya umma na wamewekwa hapo kuwahudumia wananchi.
  Na ndiyo tangu uhuru Tanzania haina maendeleo yeyote ya kujivunia katika sayari hii.
   
 6. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Visa vingine hata havifai kwani lazima uwe mbunge? Hii kesi imepikwa tu ili huyu jamaa ashindwe kugombea ubunge .hivi lazima mtu uwe mbunge hata kwa njia za kuwaletea wenzako maumivu ? Kwani hii ina tofauti gani na jambazi linaloua kwa ajili ya kupata fedha za kunywea na kujifurahisha kwa uzinzi
   
 7. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160

  Ndugu yangu hizo ni ndoto za alinacha, JK Juu miyo Juu Juu Juuuuuuuuuu zaidi
   
Loading...