Elections 2010 Je...utapeli ... DECI nalo Kombora la Dr. Slaa

Mtu66

Senior Member
Jun 26, 2007
165
3
Je kama baadhi ya viongozi katika Serikali ya Kikwete
Walishiriki kufungua matawi ya DECI Tanzania
Je...utapeli ... DECI nalo Kombora la Dr. Slaa
 
Hili swala la DECI halifichiki kabisa .kama kweli hakuna mkono wa serikali hapo kwanini pesa walizochukuwa hawajazirudisha.
kama ndivyo Rais mbona hajawahi kutolea tamko ?

Je hafahamu kwamba watu wa hali ya chini ndio walioumia?

Nakubalia kabisa DECI ni kombora la Dr SLAA ili wananchi wapate pesa zao.
 
Wala sio DECI tu .

JE KUFUKUZWA KWA WACHIMBAJI MADINI WADOGO WADOGO MIGODINI PIA NI KOMBORA KWA DR.SLAA.
 
1. DECI
2. Wachimbaji Wadogo Wadogo
3.....
4....
5....
6.etc
 
Back
Top Bottom