Wagombea urais waandike hotuba mbile na nakala kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea urais waandike hotuba mbile na nakala kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 4, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutokana na watu kuanza kuhofia wagombea kutokukubali matokeo na hata Jeshi kutishia.
  Ufuatao ni ushauri wangu wa haraka wa kujiandaa kisaikolojia na kuwaandaa wafuasi.

  1. Wagombea urais kama Dr. Slaa na Dkt. Kikwete waandike hotuba ya ushindi na pia waandike ya kukubali ushindi na inayoahidi kushirikiana na serikali iatakayochaguliwa na wananchi. ( Waombwe kufanya hivyo na viongozi wa dini)
  2. Nakala ya hotuba hizo wakabidhi kwa mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi na hana haja ya kutangaza yaliyomo ili mradi aseme ameridhika nayo. Hii sio sheria ni utaratibu wa kuhimiza amani.
  3. Mkuu wa majeshi atamke hadharani kuwa serikali itakayochaguliwa wataiheshimu
  4. Mwenyekiti wa tume atamke wazi kuwa tume itaheshimu matakwa ya wananchi na watatangaza kitakachotokea.
  CHANGIA
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  5.uchaguzi uwe wa huru na haki
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Na ibara ya katiba ya jamhuri ya muungano namba 41 (7) ifutwe!
   
Loading...