Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Oct 2, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.

  Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.

  Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wacha kuleta thread za kipumbavu wewe.
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Crap!
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  If you don't have something to do this Saturday you better sleep rather than bringing on a crap story.
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mzee avator yako inasema kila kila kitu kuhusu wewe {Lights travel faster than sound, This is why some people appear bright until you hear them speak}.
   
 6. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lala tu upumzike JMosi leo.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Pumba at its best.
   
 8. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 683
  Likes Received: 860
  Trophy Points: 180
  Mimi ningekuona una akili kama ungekuwa mwiba kwa mafisadi walioifikisha kwenye hali mbaya Tanzania lakini umewekeza nguvu zako kwa mambo yasiyo na msingi,inaonekana upo kwenye posho za kina makamba
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwehu
   
 10. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani tuiache hii thread. Kuna mtu ana habari mpya?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  pumbafu kabisa
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  mtaguna sana ,na nitawashangaa sana ikiwa hadi hapa tulipofika na kusikia utakuwa bado umebakia Chadema ,hivi mngependa m'bakaji awe raisi wa Tanzania ? Slaa hafai hata kupewa dhamana ya ualimu ,mnataka awe Raisi ,si patajaa madanguro ,Slaa amepotoka kwa kuendelea hadi leo kubaki na mke wa mtu mwengine ,ama kama angeweka hadharani kuwa ameepukana nae ,isingekuwa noma excuse nyingi zingeziba ,ila jamaa anaendelea kukata nae mbuga huko kwenye baridi kali ,hivi mgombea huyu anawaonyesha na kuwafunza nini WaTanzania?????????????????????????????
   
 13. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani Huyu mtu tusimjibu tunapoteza muda!!!!!
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kibaka hafai kuwa kiongozi wa Chadema wacha Raisi wa Tanzania ,yaani sasa mnafanya masihala na kiti cha Uraisi ,nyie vipi ? Ivi mna akili timamu ? Au ndio mnajipendekeza ? Ukweli usemwe uanikwe ili tupate kiongozi mtenda wema ,sio mdanganyifu na mwepesi kwa mambo ya anasa ?
   
 15. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Brotherly Advise: Mwiba, junius, Kadogoo, Kanda2, Tumaini and the like; Dr Slaa is not your enemy; and he loves CUF; why you take on him as if you are threatened by him?? Our threat is CCM that is all our target. I would be happy if CUF becomes a winner! Leave this innocent man (Dr Slaa) live in peace! Overall he has declared that he has a mature woman who was abondoned by a stud - mahimbo. remember one thing: JK, and Alhadji Mwinyi did the same, but the difference is; we are not talking about!! Is time for you to growup and behave!
   
 16. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbuka huyu jamaa kajiunga 2 years kabla yako!! Kama hicho ni kigezo.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huwezi kujua labda naye anafaidika na HUO UFISADI ULIOUFILISI HII NCHI NDIO MAANA ANAUTETEA
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaani unategemea watu wengine ? Kukuunga mkono ,we vipi ? salama lakini ???? mi nitakusaidia !!
   
 19. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Kibaka atakuwa zaidi ya Mwinyi au Kikwete?? maana hao wawili wamechukua underage; 18 yers old while they are already at their late 50s and 60s. Acha utumwa wa wivu; you cretins!!
   
 20. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ni walolole gani wanaoongelewa? ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE. wakristo, waislamu, wana CCM, chadema na hata wasion na dini wako tayari kumpa Dr. Slaa kura ili aikomboe na mafisadi, labda hiyo ni yako ya kutunga!! Rethink
   
Loading...