Ni sahihi CCM ya JK kujivunia mafanikio ya TANU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sahihi CCM ya JK kujivunia mafanikio ya TANU?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 4, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sote si wageni wa chama chetu kilicholeta uhuru cha tanu na maadili yake,tazama hata viongozi wake waliweka maslahi ya umma kwanza na ndio maana wengi wao hadi mauti yanawakuta hawakuwa na mali zozote waliojilimbikizia mifano ni mwl nyerere,kawawa,sokoine na wengineo,sasa leo anapotokea kiongozi wa ccm na tena wakati huu wa ukiukwaji mkubwa maadili ndani ya ccm na serikali yake,kiongozi mkuu wa hicho chama anajinadia kwa kusema ccm imeweka misingi mizuri nyanja zote kama ilivyofanya au ilivyokuwa enzi za tanu ni sahihi kweli?ccm ya leo ambayo ni chaka la kila aina ya uovu ni ya kujivunia mafanikio ya tanu ya wakina nyerere na kawawa?tanu ilikumbatia wahujumu uchumi kama ccm ya leo?tanu ilikuwa ya watakatifu wakati ccm ya leo ni ya wataka vitu
   
Loading...