Wazalendo: 14 oct ni siku ya kujipanga kitaifa kulinda na kupokea mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazalendo: 14 oct ni siku ya kujipanga kitaifa kulinda na kupokea mabadiliko

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omutwale, Oct 4, 2010.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo tayari tumeona dalili zake yanafikiwa kwa AMANI.

  Hili halipaswi kuwa suala la chama Tawala wala Mbadala bali lichukuliwe kama jukumu la kila Mtanzania Mzalendo mwenye nia thabiti ya kuiletea mabadiliko chanya nchi yake. Miongozi mwa shughuli muhimu katika siku hii iwe ni:


  1. Kuchanga fedha kufadhili mabadiliko tuyatakayo. Ebu tupendekeze na kuratibu jinsi ya kufanikisha zoezi hili
  2. ..............................
  3. ...............................
  4. ...............................
   
Loading...