Elections 2010 Je, FFU wameshindwa kutuliza ghasia?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Juzi tumesoma kwenye magazeti na kuona picha jinsi askari wa kutuliza ghasia wakihitimu mafunzo ya kupambana na ghasia. Walikuwa kwenye vifaa vipya na kuonesha kufuzu mafunzo hayo. Moja ya malengo ya JWTZ ni kutuliza ghasia nchini endapo mamlaka husika - polisi - kushindwa. Sasa nyie polisi kabla hata ya muda kufika na mafunzo yote hayo na vifaa vyote hivyo mmekwisha zidiwa? Na nyie JWTZ mmejuaje kama hawa FFU walio - pass out juzi kama wameshindwa wakati hata hizo ghasia zenyewe hazijatokea?

Je, hili ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania au Jeshi la Watawala wa Tanzania? Mimi najua kuwa Fanya Fujo Uone (FFU) wakishindwa wanaitwa askari Magereza ambao wanamafunzo ya kujua wapi wapige ili mfanya fujo atulie na wana uwezo huo kwani uyanyamazisha majambazi huko magerezani, nao wakishindwa ndipo uitwa ninyi. Nanyi uitwa na Comander in chief ambaye ni Rais kwa kutangaza hali ya hatari na kutupangia muda wa kutembea na kazi yenu kubwa ni kuua.

Mwalimu Nyerere aliwataka mishi na wananchi ili tuwe kitu kimoja, sasa nyie mnajiona ni tofauti na wananchi!
 
Waaambie nadhani wameisha sahau maadili ya kazi zao jamani hao
Mie naaza kuwa na wasi wasi kuwa JWTZ linaanza kupungukiwa uzoefu wa kijeshi na kutoyatambua maadili ya kijeshi wao huwa wana fuata na kutiia order kutoka kwa Commander In Chief kama ulivyo sema hapo sasa sielewi JWTZ imetokea wapi wakati wao huwa ndio last solution iweje wao wamekuwa wa kwanza longa kwaruninga?? au wana taka test siraha za moto kwa wananchi wao?

JWTZ wamelipeleka hili jambo mbali sana na halikupaswa kufikia huko twajijengea picha mbaya sana wandugu ndani ya TZ
 
Back
Top Bottom