Haka kamsemo huwa kananiuzi sana jamani.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haka kamsemo huwa kananiuzi sana jamani..........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Oct 11, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ingawa napenda sana Dk. SLAA awe Rais, lakini nimevumilia nimeshindwa!!Haka kamsemo ''Go Dk Slaa Goooooo.....'' huwa kananiuzi sana nikikaona. Nawakilisha.:flame::bump::A S 109::whoo::target:
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Sijui ni lugha gani inatumika hapo. Kama ni Kiingereza hata mimi hilo neno linanikera, lakini kama ni lugha yake Dr. Slaa, Kiiraqw naambiwa inamaanisha neno 'Twende'
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  pole ila mimi sioni tatizo la hako ka msemo
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama kanakuudhi, USIKASOME
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni 'kananiuDHi'
  Asante
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mimi kanani..:whoo:sana yani
   
Loading...