Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

NAWAPASULIA

Member
Oct 5, 2010
25
0
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
 
Wakati unajiunga uliomba ushauri? Nenda kwa walokupandikiza usituharibie chama!
 
Tangu umejiunga na JF wiki iliyopita kwa ajili ya kampeini za CCM umekuwa unaikandia CHADEMA siku zote, tangu lini ulikuwa mwanachama wa CHADEMA? Hata hivyo kama ulikuwa mwanachama, basi jitoe tu huna haja ya kuomba ushauri wala kutangaza.
 
Kweli wewe ni zuzu,wakati unajiunga ulituomba ushauri?kama ulijunga kimya kimya ;basi pia ondoka kimya kimya.Chadema uliikuta na itaendelea kuwepo hata baada ya wewe kuondoka!
 
Toa sababu ya kujitoa kwanza. Mimi naushauri mzuri sana, lakini hebu sema kwanza nini kinachokufanya uamue kujitoa chadema? Mkuu nasubiri jibu.
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Huu ni mfano halisi wa mbwa anayepiga miluzi (kwa hisani ya Maggid).
 
Kula kona tu wala usirudi tena.!! Nina uhakika utakuwa si rizki weye!!!!!
 
jina lake nawapasulia, lakini kwa hili kapasuka mwenyewe.. LOL
 
WEWE UMEJIUNGA JF JUZI.
TANGU UMEINGIA HUNA JIPYA, NI MALARIA SUGU WEWE TUNAKUFAHAMU.
HUJAWAHI KUWEPO CHADEMA, NA KWAKO CHANGAMOTO NI KITU UNACHOKIOGOPA SANA.
SISIEM HOIIIIIIII
:couch2:
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Excuse me, can someone show me a wash-room here!...i feel like puking!...gooosh!
 
Kama una mke nenda kamuombe ushauri kama hauna kamuombe aliyekuingiza chadema
 
jamaniiiiii eeeh,jamaaaa sikashasema?apendezwi na ukabila na uendeshaji mbovu wa chama na maadili mabovu ya viongozi,mi naona hii ni challenge kwenu mnaojiita wanachadema,embu chakachueni hayo mawazo yake mwisho wa siku mtakuja kujuta bureeeeeeeee na mda utakuwa umeisha.embu tafakarini kama mwenzenu alikuwa chadema kuanzia1996 mpaka leo ameemua kujitoa inaonekana ni mengi yanayofanywa na chama hicho.naona mwanachama aliyojitoa atuambie ni nini kilichomfanya atoke,labda na wengine watamuunga mkono au sio?zindukeni vijana
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Hivi kabla hujatuma post kwa nini usirudie mara mbili au tatu kusoma na kujiuliza maswali mwenyewe? Elewa ndugu hapa kuna watu wazima wenye upeo mkubwa sana wa kuelewa mambo na inavyoonekana uliandika kupima akili za watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom