Elections 2010 Hii pia ni sababu ya kutosha

bbtwins

New Member
Sep 1, 2010
3
1
Synovate wametoa na wao matokeo ya "opinion poll" waliyofanya kuhusu wagombea wa uraisi 2010. Magazeti mengi yameandika kwa "headings" zinazoashiria kwamba matokeo hayo ni "conclusive". Ila ukiishia kusoma vichwa vya habari tu, unaweza usipate picha ya ndani ya matokeo hayo. "The citizen" imeandika (tofauti na Daily News) takwimu zifuatazo. Najaribu kuweka katika "presentation format" tofauti kidoga lakini "more illustrative". Katika tafiti zote za Synovate baada ya uchaguzi wa 2005, matokeo ya kukubalika kwa Dr. J.K kunaonyesha hivi: -

Matokeo ya uchaguzi 2005 alipata 80.2%
Matokeo ya utafiti Dec 2009 73.0%
Matokeo ya utafiti wa March 2010 67.0%
Matokeo ya juzi Oct 2010 61.0%

Mimi naona matokeo hayo yanashiria "a trend" ya kutokuridhika kwa walioshiriki na "performance" ya mheshimiwa. Sasa kama hii ndio "trend" inayo-"reflect" uwajibikaji wa mheshimiwa, kuna sababu gani ya kumchagua kwa miaka mingine 5?
 
wATU WANAZIDI KUJUA UBAYA WA JK NDO MAAANA MATOKEO YAKE YANASHUKA KILA SIKU ATAFIKA NEGATIVE WE SUBILI (KUFUNGWA JELA)
 
Back
Top Bottom