Elections 2010 "yeyote anayetaka kwenda ikulu kutafuta faida yeyote hatufai hata kidogo"

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
May 28, 2009
220
11
wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru.

Swali.
Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati yao anayeenda kutafuta faida pale IKULU?
 
Katika wote JK ndiye anaonekana anapigana kufa ama kupona kuhakikisha anabaki pale, ni huyu pekee ndiye anapata sifuri kwa kigezo hiki cha Mwalimu cha kumchagua mtu kuwa rais
 
jamani nyinyi mnategemea turudishe vipi hela ya mabango, t-shirt, fiesta, kapello nk,
 
na unategemea turudishe vipi nguvu ya familia kuzurura mikoa yote kuomba kura?
 
Back
Top Bottom