hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Oct 9, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Hawa wakazi wa kusini naamanisha mikoa ya Lindi na Mtwara najua kabisa wana hamu kubwa sana ya mabadiliko. Kwa sasa mimi nipo mtwara, nilipita huko mtaani yaani hali inakatisha tamaa, hawa jamaa yaani wanahitaji mabadiliko haswa na isitoshe wana hamu sana ya kumsikia Dk Slaa. Na ijulikane kwamba CCM NA CUF imeshamiri sana pande za huku,isitoshe wiki kadhaa Dk Slaa alipanga kuja huku...watu toka vijijini na pande nyingine walikaa uwanja wa mashujaa tangu asubuhi mpaka pale walipopata taarifa kwamba ameghairisha kuja, watu wakaondoka na masononeko.

  Kikubwa zaidi ambacho kinakatisha tamaa na kuvunja moyo tumesikia tetesi kwamba kwakuwa Dk Slaa anakubalika sana sana pande za Mbeya basi anatarajiwa afunge mikutano yake hukohuko ambako amesota mawiki kibao. Mi nadhani katusahau wapiga kura wa Lindi na Mtwara, na kwa mawazo yangu nilidhani angetumia muda mwingi huku ambako upepo wa kisaiasa uliotawala ni wa CCM na CUF.

  Ningempa changamoto tu kwamba watu wa huku Mtwara kwa sasa wamekuwa ''upset' na 'fed-up' with u Dk. Wamechoka kukuona kwenye marunninga na wanakuhitaji sana,isitoshe nadhani uangalie tena ikibidi ufunge mbio za kampeni mikoa hii ya kusini kwani utawabadilisha kifikra sana wakazi wa huku kuliko unavyozidi kujisahau pande za mbeya,rukwa na iringa ambako asilimia kubwa mno wanakukubali, nadhani imetosha na sie wanaLindi na Mtwara kukuona Live. Nakerekwa sana na hili........
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole, lakini wamekusikia,.....
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye bold acha kuishi kwa tetesi na kukeleka wakati huna uhakika na taarifa kamili
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  ni tetesi kwa sababu kwa kadri ya timetable yake inabidi afunge kampen Dar, so kwakuwa CCM nao wanamalizia hapo Dar basi wao wanaenda Mbeya kuzuia mgongano pale Jangwani...
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  okay...tuma ujumbe wako kwa Chadema direct uone wanasemaje mkuu!
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hata mimi CHADEMA wananikera sana. CCM bado hamja-split tupate chama mbadala.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  pamoja na yote hayo tunamhitaji saana
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,824
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  omba omba wenu anaomba asaidiwe maana hajui kwa nini nchi yake ni maskini! Akifika ruvuma kwenye kampeni anaonge na simu na kuwataarifu watu kwenye mkutano alikuwa anaongea na obama ameahidi kutuma misaada zaidi!!!
  Uchuro mtupu!!!!!!! Hana jipya
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kulingana na ratiba yaonyesha Dr.Slaa alitakiwa kuwa mikoa ya kusini mwanzoni mwa mwezi wa October tena angepitia kwanza Visiwani (Unguja na Pemba). Sasa kama wameahirisha kufanya hivyo au wameondoa kabisa misafara ya sehemu hizi mbili bila maelezo muhimu nadhani tuna kila sababu ya kuwalaumu viongozi waliopanga misafara hii..
   
 11. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa inabidi afike huko, tunamhitaji katika hii nchi, hata kama kabanwa lakini we need him to be everywhere. Au kuna dalili mbaya ndo maana kaamua kubypass.
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli hataenda huko atakuwa hajawatendea haki watu wa Lindi na Mtwara, ilikuwa aende mwishoni mwa september.
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,012
  Trophy Points: 280
  Hamumuhitaji Dr. Slaa ili kupata ukombozi wa minyororo ya CCM.

  Dr. Slaa aje huko au asije hilo lisiwe kisingizio chenu cha kutochagua Chadema na Dr. Slaa kwa kishindo ambacho JK na CCM yake itashika adabu.


  Shida zenu ndizo ziwaongoze kufanya maamuzi yenye utashi wa kisiasa. Maendeleo yenu kamwe hayatapatikana kwa hotuba bali kwa ninyi kufanya maamuzi ya kujijenga siku zote.

   
 14. m

  mr cr Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakweli wewe ndo unaelewa nini maana ya kuchoka na kutaka kufanya mabadiliko, hoja yako ni ya msingi sana, ila usikate tamaa siunajua saa zingine mambo ya uchumi, ila mungu ni mkuu, nina imani Dr atakuja huko lazima. pole sana na endelea kuwahamasisha watanzania, wanaopenda maendeleo, hata huku kwetu hajafika bado ila tunaimani atafika bado muda upo.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Chukueni FILM ya hotuba za Slaa na muangalie.

  Aje huko kupoteza muda na pesa? Huko malizazeni Waswahili wenyewe kwa wenyewe.

  CUF na CCM mnapendeza sana Mtwara na LINDI. Makonde kwa ChiChieM ni kama Mguu Mchafu na Sindimba.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ratiba yake inaonesha atarudi huko!
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Hao wana Kusini wanakubaliana na sera za cuf na ccm ama wanapenda tu kuwasikiliza Lipumba na JK?
  btw nakupa changamoto;chunguza what ccm and cuf have in common halafu angalia demography ya huko then unaweza kupata statistical inference.
  Je ni nini haswa kinachofanya cuf na ccm wapokelewe zaidi huko kusini?Je ni kwasababu Dr Slaa hajaenda?
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa kauli hizi hebu nambie mabadiliko unayoyataka manake watu wanataka kujua ni zipi sera za CHADEMA, wewe unawakatisha tamaa. Hata kama ni ngome ya CCM na CUF nadhani kilio chao kwa Dokta kinahitaji kusikilizwa vinginevyo Dokta atakuwa ameanza kuonesha wazi kupendelea baadhi ya maeneo ilhali bado ni mgombea tu,, akiwa rais itakuwaje?

  Tafakari.

  Mungu Ibariki Tanzania.
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Una uhakika walizipenda sera za cuf na ccm kwasababu hawajawahi kuzisikia sera za chadema?

  Ni bora ingekuwa ni ngome ya cuf peke yake,then from there hakuna shida,kama wapinzani wanaweza kufikiri namna ya kushirikiana,ila kama wananchi hao wa ukanda wa kusini wana hamu na mabadiliko watayafanya na kamwe hawawezi kulazimishiwa.

  Wananchi wenye kujitenga kidini na kikabila wana matatizo mengi sana ambayo ndiyo kikwazo cha mabadiliko...Kama wameridhika huwezi kuwalazimisha,mabadiliko yataletwa na wenye nia.....kwenye dunia ya sasa yenye kujali demokrasia,basi hata ukiamua kuwa mjinga ni rukhsa!

  Hata Mungu mwenyewe akishuka leo lazima kuna watakaompinga,lakini kupingwa haimaanishi kushindwa.
  Pia mleta hoja inaonekana haonyeshi msingi wa hoja yake na wewe kwa kukurupuka ukaingia mtegoni na kuanza bla blah...Mleta hoja kadai wananchi hao wa kusini wanamwona Dr Kwneye luninga tu na sasa wanataka kumwona live!Sasa ina maana kuwa wameshamsikia na kumwona kwenye luninga akimwaga sera...Kumbe tatizo siyo kwamba hawajamsikia kama unavyotaka kupindua hoja na kutuaminisha upotofu wako....Bali wanataka kumwona live kama watu wa maeeo mengine.
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Du anasoma risala ya kuomba msaada kwa Mr Presidaa? Na hii aliandikiwa na January Makamba?
   
Loading...