Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr. Slaa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anafafanua masuala mengi ikiwemo: Comparative advantage Stimulus package ya uchumi (kinga dhini ya mdororo wa kiuchumi duniani) Stabilization Fund...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika Hali ya kushangaza na kushtusha. Membe ameenda mkoani Mwanza kwa nia ya kukanusha "uvumi" anaosema unaenezwa na walioshindwa kupata urais ndani ya CCM. Uvumi aliosema unaenezwa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Utafiti wangu wa kina umebaini yakuwa CCM ina ajenda za siri ambazo utekelezaji wake utazua mgawanyiko mkubwa wa utaifa wetu na ndiyo maana hawapo tayari kuzizungumzia hadharani wakati huu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpendwa sana dada Rose, na Team yako yote (Mh Ulimwengu, na Tanzania Foundation for Civil Society) iliyoandaa kazi ambayo ni exceptional Tanzania, yaani Debate ya jana Usiku kwa Dr Slaa (mgombea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata habari kwamba jana mchana kumetokea mapigano kiasi cha waumini kukimbia ovyo katika msikiti mmoja mjini Bukoba. Msikiti huu maarufu kama msikiti wa waarabu uliopo katika eneo la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Be part of a national election monitoring exercise for #UchaguziTZ Ushahidi comes to Tanzania! It comes in the form of uchaguzi.or.tz, implemented by TACCEO, a group of 16 Tanzanian civil...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimetoka mazoezini sasa hivi. Nilipitia kibanda cha magazeti kununua machache. Kulikuwa na watu 8 niliokadiria umri wao kuwa Kati ya miaka 25 hadi 40. Mjadala ulikuwepo wenye hisia mchanganyiko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siri za CCM, CUF zavuja MAKUBALIANO kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) kuhusiana na mwendo kuelekea uchaguzi mkuu yamevuja, MwanaHALISI linaweza kuripoti. Taarifa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa niki fuatilia kwa makini utendaji kazi wa hii taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa muda sasa. Kwa muundo wake kwa sasa ni heri isiwepo kabisa kwani wanakula na kutuongezea gharama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wazee. Kutokana na watu wengi kulalamika kukatiwa umeme jana wakati kituo cha ITV kinarusha matangazo ya moja kwa moja na mgombea kiti cha urais kutoka chama cha CHADEMA Dr W.P...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zilizojiri hivi punde ni kwamba Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Robert Manumba amewasili wilayani Maswa. Habari zaidi zinadai kuwa Manumba yumo wilayani Maswa kwa ajili ya kusaidia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mi napendekeza apewe michezo na utamaduni!! Sidhani kama wadau mtapenda asimamie fedha! au mnaonaje wadau? kama vp tusimpe kitu labda Dovutwa!!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 20 October 2010 CCM wanamkomoa nani: wapinzani au wananchi? | Gazeti la MwanaHalisi KATIKA baadhi ya hotuba zinazorudiwa katika vituo vya televisheni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya Tarehe 29/10/2010, saa moja kamili jioni katika kituo cha ITV kutakuwa na mdahalo wa mgombea urais kwa ticket ya CUF Prof. Ibrahim Lipumba, mdahalo huo umeandaliwa na VOX Media...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo tena majira ya asubuhi, historia imezidi kukolezwa wino baada ya mmoja wa wazalendo wa nchi na mfuasi wa kweli wa siasa za Mwalimu Nyerere, Mustafa Jaffar Sabodo amechangia Tsh. Mil 100 kwa...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Natamani sana Jumapili ijayo, yaani 31/10/2010iwe siku ya mwisho kwa Jakaya Mrisho Kiwete kuwa Rais. Lakini ili tufike huko inabidi tufanye mambo yafuatayo ili Dr.Slaa amshinde Kikwete na awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwalimu JK Nyerere baada ya kuachana na ualimu aliendelea kuitwa Mwalimu, hata pale alipopata Udaktari, alibaki kuitwa Mwalimu na alisisitiza hivyo. Kulikoni Jakaya Kikwete kujitukuza/ kutukuzwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ujasiri na Uadilifu wa uongozi, Ungempelekea Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Kuawachukulia hatua za dhati kabisa mafisadi waliokuwa wamewekwa hadharani na kufahamika waziwazi. Lakini akawa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hali ya nchi kwa sasa inaonyesha wazi mahitaji ya watanzania,kuwa tunahitaji viongozi makini ili watutoe hapa tulipo katika lindi la Umaskini wa kutupwa. Hivyo Mabadiliko yaanze tarehe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
24th October 10 CCM executing ambitious hospital project in Moshi Daniel Ondigo Chama Cha Mapinduzi (CCM) has planned to spend over Sh2.9 billion to construct a modern ward at Mawenzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom