Dr. Slaa akifafanua comparative advantage ktk uchumi wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa akifafanua comparative advantage ktk uchumi wa Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bagamoyo, Oct 24, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,519
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anafafanua masuala mengi ikiwemo:
  • Comparative advantage
  • Stimulus package ya uchumi (kinga dhini ya mdororo wa kiuchumi duniani)
  • Stabilization Fund Fund (mfuko maalumu kulinda bei za mazao ya wakulima kuwatia moyo wakulima wadogo na wakubwa)
  • Wakulima wa USA na EU wanalindwa na serikali zao, pia Chadema itawalinda wakulima wa Tanzania
  • Money Economy kwa wakulima
  • CHADEMA inatambua Muungano wa Tanzania ni wadamu kabisa. Kisiasa serikali tatu kwa Tanzania ni bora zaidi( Tanganyika, Zanzibar na Serikali ya Muungano).
  • Kodi mbalimbali kama VAT, madini kama Tanzanite, bauxite, dhahabu, almasi, utalii , samaki n.k na rasilimali nyingi zikisimamiwa vizuri huduma za jamii bure kama Elimu, Afya inawezekana kabisa.
  • mikataba mibovu kama ya sekta ya madini kufumuliwa.
  • wakati wa Mwalimu Nyerere iliwezekana kusomesha watoto bure kwa rasilimali chache, hivyo kipindi cha sasa inawezekana pia kwa vile tumefungua milango mingi ktk sekta ya madini.
  • Nilipata wadhamini zaidi ya milioni 1.3 nchini kote, hivyo nimeamini Watanzania wamenikubali kugombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA.
  part 1
  part2
  Video kwa hisani ya Tangibovu wa Youtube.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  NDIYO MAANA TUNAUNGANA WOTE, Tunaomba MDAHALO Mwingine kabla ya siku ya kupiga kura ili huyu jamaa ambaye ni HAZINA ya utawala bora ujao aweze kuyaeleza hayo yote na mengineyo yanayopotoshwa na waoga hawa, ambao wanajifanya hawajajua watanzania wamebadilika na hawadanganyiki tena!

  Mdahalo mwingine utakuwa FUNIKA na kuwaweka watanzanzania wooote ktk alerts za Kupiga kura makini, kulinda kura, na kusubiria kusherehekea ushindi.

  Nenda Baba Slaa, mzee wa 'genuine PhD' , na sio zile za 'kichina' kama aliyopewa JK 'kiaina' na anafurahi ile mbaya kila inapotajwa...
   
Loading...