Mdahalo ITV Bila Dr Slaa Na Wengine, Kwanini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo ITV Bila Dr Slaa Na Wengine, Kwanini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Niponipo, Oct 24, 2010.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siku ya Tarehe 29/10/2010, saa moja kamili jioni katika kituo cha ITV kutakuwa na mdahalo wa mgombea urais kwa ticket ya CUF Prof. Ibrahim Lipumba, mdahalo huo umeandaliwa na VOX Media wakishirikiana na ITV. Kwa nini amealikwa mgombe mmoja tuu mbona wagombea wa vyama vingine hawajaalikwa kujumuika na Prof. Lipumba.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahhaaaa, mkuu....umewajibu vizuri wale akina pus na wenzake waliotumwa na mabwana ....malizia mwenyewe.
   
 3. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kanyaga twende.
   
 4. B

  Bull JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lipumba utamfananisha na nani katika hao wakina JK na Mchungaji Slaa, Lipumba ni Mtaalam atafutiwe mataalam wa kujadiliana nae sio wachungaji
   
Loading...