Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sababu kubwa inatokana na uaminifu wao, kwa mfano hili sakata la EPA,Wafanya Biashara wenya asili ya kihindi walitumiwa tu na vigogo wakubwa sana wa nchi hii na wahindi wakapewa percent yao tu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kinyume na ngebe za CUF na CCM kuwa wao ndiyo watagawana kura za huko taarifa za uhakika nilizozipata kwa wapenda maendeleo wa huko wangependa Dr. Slaa angalau afike makao makuu ya mikoa hiyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
In trying to escape its political death, CCM is hitting lask kick of a dying horse before Tanzanians officially burry the party on 30th October 2010. CCM is very sure than ever that its heart is...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zikiwa zimebakia siku sita kabla ya Watanzania kwenda kupiga kura za kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais kwa 2010 -2015. VITUO vya kupigia kura ni 51,800 nchi nzima, hii inamaanisha kila chama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika kuonesha kuwa Makanisa mengi yako kibiashara zaidi, Kanisa la Pentekoste Kunduchi limepokea pesa haramu za kifisadi shilingi milioni ishirini kutoka kwa Mtanzania bandia Rostam Azizi huku...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau nimepita pale ubungo stend ya daladala upande wa pili kuna mkutano wa ccm umejaa watoto wadogo na watu wazima kama nane hivi wote wamevalishwa nguo za chama tawala na kofia.mama hawa ngumbi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watawala walioshindwa na mbu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa ningependa kuzungumzia kutengenezwa kwa Database kwa ajili ya wapiga kura. Kwa mawazo yangu kwa wale ambao wako nje ya vituo vyao vya kupiga kura ingetengenezwa Database ambayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale ambao hawakupata kusikiliza jana leo pia inarudiwa hapa Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Muziki Wa Dansi and African Music iko hewani muda huu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ningependa kuona ahadi hizi zinasisitizwa kutoka kwa wagombea 1. ku explore new opportunities zaidi. nchi kama Tanzania ni kubwa sana na ina maliasili nyingi sana. Mf. kuhusu madini huenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya mdahalo wa siku ya ijumaa tarehe 29/11/2010 kati ya wananchi wa Tanzania na mgombea wa CUF kundi fulani ambalo lilikuwa LIMPIGIE kura mgombea wa CCM litazigawa kura hizo na kumpa mgombea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Roho inaniuma mno kuona ni jinsi gani baadhi ya watanzania wenzetu especially walioko madarakani wanavyotufanya wananchi wajinga na tusio na uelewa wowote. - Hivi ni kweli bado week 2 kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eee Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi. Pokea heshima na utukufu, tunaliinua jina na enzi yako ya milele yote. Asante kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania ambao umepita salama bila machafuko yoyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo nje ya jiji la dar lakini nimebahatika kupata habari kuwa kunawatu hapo dar wameandaa show za bure ili watu wakose fulsa ya kumuona na kumsikisiza Dr slaa. Kwan hali ipo wazi kabisa kuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu Jamaa ni kweli anachokisema? anauliza kwa nini CCm wanamlazimishia mawazo Link YouTube - "CCM WANITISHIA MAISHA" PASTOR FAUSTIN MUNISHI ON FACE BOOK
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dk.Slaa aandaa Mawaziri WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) kikitamba kunyakua zaidi ya majimbo 47 Tanzania Bara, mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nina maswali yafuatayo ambayo ningependa nimuulize 1. Ningependa kujua kuhusu hao vijana wake wa kazi mashushushu wanaompa taarifa mbali mbali anazokuwa anadai ni mabomu analipuwa, kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom