Kulikoni DCI Robert Manumba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni DCI Robert Manumba!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Indume Yene, Oct 24, 2010.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Habari zilizojiri hivi punde ni kwamba Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Robert Manumba amewasili wilayani Maswa. Habari zaidi zinadai kuwa Manumba yumo wilayani Maswa kwa ajili ya kusaidia upelelezi wa kifo cha aliyekuwa dereva wa mgombea ubunge jimboni humo kupitia CCM.

  Hakuna kitu chochote duniani ambacho kinaweza kulinganishwa na uhai wa mtu. Lakini cha kushangaza iweje Manumba aende yeye mwenyewe huko Maswa wakati wapo wasaidizi wake katika mikoa na wilaya? Wakati wale watoto wanateketea kule Tabora au Temeke mbona hakwenda?? Wale wananchi waliouawa kule Ukerewe mbona hakwenda. Wale wananchi waliouawa Bweri, Musoma mbona hakwenda lakini Maswa ndo ameona kuna umuhimu wa yeye kama Mkurugenzi kwenda!!

  Maswa kuna nini? Manumba hasitumie wakati huu kuwaadaha wananchi kuwa ni muwajibikaji sana. Kesi za fisadiz bado anazikalia....hana lolote zaidi ya kutaka ku-generate spin.

  Zimebaki siku chache kubariki mabadiliko......HUSIDANGANYIKE.

  Natoa pole kwa wafiwa.
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This country bwana, inatia kichefu chefu sasa. Anyway ngoja tuone kama haki itatendeka na safari hii wasukuma wamechoka kugeuzwa mtaji kwa ccm.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii ni picha halisi ya tawala zisizo makini zinavyoendesha mambo yao, na sasa wameshaset precedent, God forbid lakini ikitokea say washabiki wa CHADEMA Aruusha wameuwawa na wale wa CCM je Batilda atawekwa ndani????
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  haya ndio anayoyapinga Slaa, kila mtu kateuliwa na Rais, na mwisho wa siku mtu anafanya kazi kumridhisha aliyemteua
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  naskia kuna delegate kubwa sana ya CCM inataka kutumia msiba huo kushinda uchaguzi... at any cost
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Usanii wa serikali ya Jk umekaribia ukingoni. Waache tuwapumzishe kwa amani.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo SHIBUDA alitoa mari ya kumuuwa yule kijana?
  Hii nchi bana veri veri unwell
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  usikute na mkulu au makamba au kinana au hata RIZ1 wapo kule kuwin vote za wanaccm wenzao. maana nazo hizo watazikosa
   
 9. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Naamini wananchi sasa hivi wanaelewa kuwa CCM wanatafuta opportunity. Tutasikia magunia ya mchele yamepelekwa huko.
  Nasisitiza, uhai wa mtu hauwezi kulinganishwa na kitu chochote duniani, lakini CCM wanatakiwa kuwa makini sana na hizi spin za kudanganyia ili kupata kura.
   
 10. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kweli gete nkoi.

  yani duli na mazahabhu, ma-alimasi lakini dulibhahabhi guti mva?

  nibhuli?

  mokono bhagudumana duhu.
   
 12. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona huyo alikuwepo? alionyweshwa na tbc akiwapa pole wafiwa
   
 13. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Makamba alienda juzi kule baada tu ya kusikia mwana-CCM ameuawa. Alionyeshwa juzi
   
 14. g

  grandpa Senior Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda ameenda kuangalia ule mtama aliopigwa OCD Nduguru na mgombea wa CCM, Robert Simon Kusena unafaa kufungulia mashtaka!
   
Loading...