Ushindi wa jakaya ni kushidwa kwa tanzania kama taifa.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Hali ya nchi kwa sasa inaonyesha wazi mahitaji ya watanzania,kuwa tunahitaji viongozi makini ili watutoe hapa tulipo katika lindi la Umaskini wa kutupwa.
Hivyo Mabadiliko yaanze tarehe 31/10/2010.
Mabadiliko kuanzia Udiwani hadi Urais.
Tupate viongozi bora wenye nia njema ya nchi yetu.
 
Swadakta! Kama akipita tena bandugu nunueni magunia ya kubeba pesa mnapoenda kununu vitumbua kwa mama Ntilie
 
hiki ndiko kipindi cha ukombozi kwa watanzania kwa kweli tusipotumia vizuri
neema hii ambayo Mungu ametushushia kuleta mabadiliko kwa kweli watanzania tujiandae kulia na kusaga meno kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kwani tukiwapa nafasi hawa watu wakarudi madarakani watatumia kila mbinu na namna chafu kusambaratisha nguvu ya upinzani na pengine katika uchaguzi wa mwaka 2015 kusiwepo kabisa na upinzania tanzania.

Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake!
 
Back
Top Bottom