Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,469
- 728
Kwanini mkuu mbona picha nzuri japo yeye hakubaliki na wadanganyika?Ngoja Mods waione hii watai'delete fasta.
Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona hurumaIn contrast hii ni hospitali ya Msoga....
![]()
Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona huruma
Halafu jamaa anatabasamu wakati kina mama wana hali mbaya sanaHivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona huruma
Pole kwa machungu ndugu yangu...utaumia zaidi kusikia hao wote wamempa kura JK....hapo ni kijiji alichozaliwa...nakupa na hii...hataki kuchafuliwa na tope
![]()
Ngoja Mods waione hii watai'delete fasta.
Mbona mwanitisha sana jamani kwa lipi baya hapa nimefanyahawataishia kui delete tu watamtwanga na BAN