sera za ccm kulindana na kubebana, je shamsi vuai nahodha anaandaliwa shavu gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sera za ccm kulindana na kubebana, je shamsi vuai nahodha anaandaliwa shavu gani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Madcheda, Nov 17, 2010.

 1. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  naomba mtaniwia radhi wana JF hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa JF ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha ameandaliwa shavu gani ndani ya selikali ya jamuhuri???maana naona zenji shein amemtema na sababu alinyimwa uraisi wa zenj na wana ccm wenzake nazan ameteuliwa ubunge na jah-kaya ila mpe shavu la uwaziri ktk selikali yake,kama ilivyo kwa bilal na shavu la umakamu...wenye newz naomba mtujuze tafadhali
   
 2. K

  Kiti JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyo nafikiri anaandaliwa kitu cha nguvu hasa 2015 au baadae. Anaandaliwa kuzoea system ya CCM ili baadae ashike hatamu.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kuna mdau kule kwenye jukwaa la siasa amesema atachukua nafasi ya Benard Membe ya uwaziri wa mambo ya nje.
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ask kikwete ndugu
   
 5. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kaka ningekua na uwezo wa kumfikia ninge muuliza kaka
   
 6. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo letu kubwa ni kusahau au kutokuzingatia,
  Kwa kumbukumbu zangu, mara tu baada ya Shein kuteuliwa kuchukua mkoa wa Unguja na Pemba watu wawili waliambiwa na walisema wazi kuwa chama kimewaambia watulie kidogo nao ni Ghalib Bilali na kwa kuwa yeye umri unamtupa mkono akapewa hapo alipo ili asimsumbue Shein pale mkoani. huyu wa leo akaambiwa bado ni kijana kwa hiyo asiwe na haraka. So amekuja kutengenezwa ili wakati ukifike either apewe mkoa au Li nchi kabisa yaani Tanganyika!!
  Kama mnasahau haraka, karagabahoooo
   
Loading...