Elections 2010 Sita ametokea wapi?

emmathy

Senior Member
Sep 22, 2010
147
25
Wanajamvi wenzangu naomba mwenye kujua historia ya mh S. SITA aiweke hapa ili niifahamu..
Kwangu namuona mwana mabadiliko kwa sehemu yake ktk jamii yetu ya Kitanzania, alikotokea kiutendaji kabla ya kuwa spika, utendaji wake kwa ujumla kwani kwani kwangu mimi bado ni spika.
 
Wanajamvi wenzangu naomba mwenye kujua historia ya mh S. SITA aiweke hapa ili niifahamu..
Kwangu namuona mwana mabadiliko kwa sehemu yake ktk jamii yetu ya Kitanzania, alikotokea kiutendaji kabla ya kuwa spika, utendaji wake kwa ujumla kwani kwani kwangu mimi bado ni spika.


E-mail this to a friend Printable version PDF format
GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Samuel
Middle Name: John
Last Name: Sitta
Member Type: Constituency Member
Constituent: Urambo Mashariki
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O.Box 9133, DAR ES SALAAM
Office Phone: +255 787 878778
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: ssitta@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 December 2005
End Date: 30 August 2010
Date of Birth 18 December 1942
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Urambo Primary School PrimaryEducation 1950 1953 PRIMARY
Sikonge Middle School Primary Education 1954 1957 PRIMARY
Tabora Boys Secondary Secondary and High School 1958 1963 HIGH SCHOOL
University of Dar es Salaam LLB 1964 1971 GRADUATE
University of IMEDE -Switzerland Advanced Diploma in Management 1976 1976 ADV DIPLOMA
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Tanzania Investment Centre - TIC Managing Director 1996 2005
Parliament and Government of Tanzania Constituency, Minister and Regional Commissioner 1975 1995
National Development Corporation - NDC Secretary and Director of Administration 1969 1975
CALTEX OIL Branch Manager 1967 1969
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi -CCM Regional Secretary- Kilimanjaro 1993 1993
Chama Cha Mapinduzi -CCM Regional Secretary- Iringa 1987 1987
Chama Cha Mapinduzi -CCM Member National Executive Council 1977 1987
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
No items on list
 
emmathy,

..Samuel Sitta ni mzee wa siku nyingi sana.

..hapo unaona kwamba ameingia UDSM[Faculty of Law] mwaka 1964. nadhani hiyo ndiyo intake ya kwanza ya Chuo Kikuu cha DSM.

..aliwahi kuwa Waziri ktk serikali ya Mwalimu Nyerere na performance yake haikuwa nzuri.

..wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi alikuwa Waziri anayeshughulikia Makao Makuu Dodoma na kipindi hicho kulikuwa na ufisadi wa kutisha ktk mradi wa ujenzi makao makuu.

..baada ya hapo alishika nafasi mbalimbali za ukuu wa mkoa, halafu akarudishwa na kuwa waziri wa sheria na katiba ktk awamu ya mwisho ya Raisi Mwinyi.

..mwaka 1996 ndiyo utaona aliteuliwa kuongoza Kituo cha Uwekezaji[TIC] na huko nako kuna madudu chungu mzima yalikuwa yanafanyika. mojawapo ni ukweli kwamba kampuni ya Richmond iliingia nchini wakati Sitta ndiyo mkurugenzi wa TIC.

..kwa kifupi Mzee Sitta siyo msafi kama watu[vijana] wengi wanavyofikiria. wale wanaomfahamu Sitta tangu awamu zilizopita na siyo kuanzia akiwa Spika wa Bunge wanatambua kwamba huyu Mzee ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
 
:nono::nono::nono:
emmathy,

..Samuel Sitta ni mzee wa siku nyingi sana.

..hapo unaona kwamba ameingia UDSM[Faculty of Law] mwaka 1964. nadhani hiyo ndiyo intake ya kwanza ya Chuo Kikuu cha DSM.

..aliwahi kuwa Waziri ktk serikali ya Mwalimu Nyerere na performance yake haikuwa nzuri.

..wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi alikuwa Waziri anayeshughulikia Makao Makuu Dodoma na kipindi hicho kulikuwa na ufisadi wa kutisha ktk mradi wa ujenzi makao makuu.

..baada ya hapo alishika nafasi mbalimbali za ukuu wa mkoa, halafu akarudishwa na kuwa waziri wa sheria na katiba ktk awamu ya mwisho ya Raisi Mwinyi.

..mwaka 1996 ndiyo utaona aliteuliwa kuongoza Kituo cha Uwekezaji[TIC] na huko nako kuna madudu chungu mzima yalikuwa yanafanyika. mojawapo ni ukweli kwamba kampuni ya Richmond iliingia nchini wakati Sitta ndiyo mkurugenzi wa TIC.

..kwa kifupi Mzee Sitta siyo msafi kama watu[vijana] wengi wanavyofikiria. wale wanaomfahamu Sitta tangu awamu zilizopita na siyo kuanzia akiwa Spika wa Bunge wanatambua kwamba huyu Mzee ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo.

:nono::nono:eleza vizuri usiwe kama umetumwa na E L
 
e bwana wee joka kuu yakweli hayoo........? au wewe nimmoja wao wa wale wanaowasaidia kupiga kampeni wakina nanihiii(mafisadi)
 
emmathy,Anyisile Obheli,

..tatizo mnataka mtafuniwe kila kitu.

..mngejisumbua kidogo tu mngeweza kujua kwamba Samuel Sitta ni mzee wa zamani sana huyu. wazee wa rika lake ni wastaafu kama Mzee Joseph Warioba, Jaji Mama Julie Manning, etc etc.

..kuhusu suala la kampuni ya Richmond ukweli ni kwamba iliingia nchini wakati Raisi Mkapa. wakati huo mtendaji mkuu wa kituo cha uwekezaji TIC alikuwa Samuel Sitta. mradi wa kwanza ambao Richmond walijaribu kutapeli ulikuwa ni ujenzi wa bomba la mafuta la DSM--Mwanza.

..sasa hata tukiacha hilo suala la Richmond. hivi nyinyi mnaonaje kuhusu ule ubinafsi alioonyesha Samuel Sitta kwa kupangishiwa nyumba ya mamilioni ya shilingi mara alipoukwaa Uspika.

..vipi kuhusu ujenzi wa ofisi ya kifahari ya Spika aliyojijengea jimboni kwake Urambo? fedha hizo zingeweza kujenga zahanati, mabweni, au maabara.

..huyu Mzee ni very good and re-inventing himself, lakini kila anapofanya hivyo anakuja na ufisadi mpya. kwa mtizamo wangu hatufai.
 
E-mail this to a friend Printable version PDF format
GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Samuel
Middle Name: John
Last Name: Sitta
Sikonge Middle School Primary Education 1954 1957 PRIMARY
Tabora Boys Secondary Secondary and High School 1958 1963 HIGH SCHOOL
University of Dar es Salaam LLB 1964 1971 GRADUATE

Alisoma UDSM 1964 - 1971 Hiyo LLB mbona ndefu hivyo?
 
Inaelekea wengi hamumfahamu Sitta zaidi ya kipindi cha kuwa spika.

Fuatilia mambo ya CDA na utakuta mikono ya Sitta imetapakaa kwenye ufisadi wa kuendeleza makao makuu Dodoma.

Nenda TIC utakuta mamilioni ya pesa za serikali kutumia kukarabati nyumba yake binafsi badala ya ile ya TIC aliyokuwa amepangishiwa.

Hata hiyo Richmond ni kweli ilikuja wakati wa Sitta. Walitakiwa wao ndio wajue kwamba ni kampuni ya kitapeli kabla ya kuwapa certificate kama investor.

Hata bungeni kwenyewe kuna tuhuma nyingi za ubadhirifu wa fedha ikiwemo ofisi ya spika kule Urambo. Pia kuna mamilioni ya kupangishiwa nyumba kama spika. Kuna pia dawa za milioni mbili. Kuna kuwabeba baadhi ya wabunge marafiki zao na kuidhinisha malipo bungeni ambayo hawakustahili.

Lakini kwasababu Watanzania tuna kazi ya kutafuta heroes basi huyo ndio hero wenu Sitta.
 
E-mail this to a friend Printable version PDF format
GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Samuel
Middle Name: John
Last Name: Sitta
Sikonge Middle School Primary Education 1954 1957 PRIMARY
Tabora Boys Secondary Secondary and High School 1958 1963 HIGH SCHOOL
University of Dar es Salaam LLB 1964 1971 GRADUATE

Alisoma UDSM 1964 - 1971 Hiyo LLB mbona ndefu hivyo?

Waliwahi kufukuzwa kwa mgomo wa kukataa kwenda JKT huenda maana miaka imeongezeka. Ila sina uhakika walisimama mwaka mmoja au zaidi.
 
Joka kuu hauja kosea huyu sitta ni ni mpiganaji ila alikosa uzalendo kati ya mwaka 1967 na ndio maana mwl nyerere alimchapa viboko na kufukuzwa udsm kwa kusema heri serikali ya mkoloni kulikoni serikali ya mwl Nyerere hivyo ni mchumia tumbo tu kama wengine waliopo
 
Mimi ni mpenzi wa makala za mwandishi Hilal Sued aliyekuwa akiandikia gazeti la The African miaka ya karibuni -- hivi sasa naona anaandikia gazeti la Mwanahalisi.

Katika collection zangu niliwahi ku-extract makala hii kutoka website ya gazeti hilo kuhusu Sitta, iliyotoka late 2009 wakati akiwa 'roasted' na vigogo wenzake ndani ya CCM. Nadhani makala hii inaweza kujibu maswali mengi ya ndugu yangu emmathy kuhusu mwanasiasa huyu ambaye kweli ni very controversialL:






SAMUEL SITTA:

No stranger to controversy and official storms



By Hilal K. Sued



Yes – he's never been stranger to controversy. And that is perhaps the mildest appraisal one can offer on him.

When he was elected to the Speaker's Chair in early 2006, he promptly let it be known that he would be a man of ‘speed and standards' in his conduct of business in the House. Hence he was dubbed ‘Sam Speed' – a derivation of a movie cartoon depicting the legendary leader of a super-fast highway patrol team called the Speed Team.

But as it turned out he not only became a dawdling and sometimes time-consuming mover of business in the House, but also that his principles have been everything else but the bragged standards -- in fact they became very suspect, if not doused in hypocrisy.

Just a few weeks after his ascension to the chair, he enraged Tanzanians when he supported MPs' who were agitating for money – increased salaries and allowances. He even went to the extent of lashing out at newspapers that had come up in arms against him for supporting the money craving MPs.

The outrage levelled at him was prompted by the fact that the demand for more money came even before many of the new MPs knew where the Bunge toilets were located, or how the House's public address system worked, or even got used to the feel of the velvet cushions of their seats.

In addition, even the top man himself, President Jakaya Kikwete, discreetly lined up behind the angered public. Responding to the statement read over to him and which touched the subject, he told Dar es Salaam elders gathered at the Diamond Jubilee Hall that "the MPs are mature people, and no doubt they have understood your cries."

But that was only the beginning of Samuel Sitta as chief moderator of House proceedings, the task that has seen him barely managing the chamber proceedings whose ufisadi-conscious-members have become more and more outspoken, even bordering the mutinous. And intriguingly, the situation has spurred the unthinkable – the emergence, in the august House, of the bipartisanship display.

And there have not been an incident in which this was so much in evidence than the convoluted Richmond affair that culminated in the forced resignation of the former PM, Lowassa and two of his ministerial cronies. It was when Tanzanians heard a government MP telling a hushed House ‘today there are neither green shirts nor blue shirts in this House, but only one agenda, that is "kieleweke."

As stated, such bi-partisan talk, that no doubt took Sitta unawares had never been heard before in the House. And if that was not enough indication of the unimaginable slowly creeping into the political system, the CCM controlled chamber was further jolted by one of their own who said without mincing words – "we must not always let Zitto or Slaa expose corrupt leaders in the Government, we should ditch party lines to make this House a major defender of the wananchi."

They were eating their own words. They have always been greatest defenders of all the filth in the government's top leadership, with successive Speakers endorsing everything. But this one said he wanted to be different – a very unfeasible promise indeed. He was slowly becoming a darling of the opposition, discreetly promoting their agenda – the corruption agenda.

Therefore the latest outrage levelled against him from his own kith in the ruling CCM – his being ‘roasted' by its top party organs in Dodoma this week must have carried that message. Accusations against him that he was not displaying even-handedness in his conduct of House business actually meant that he was promoting the "anti-graft" agenda – the behaviour that stands to adversely affect the CCM government.

One may ask whether the CCM top organs would have been bothered a lot if Sitta had been adopting the other stand – the pro-government stand – as Speakers before him were doing. There wouldn't be even-handedness there, would there? But that doesn't erase the hypocrisy in him, or even his violent swaying on critical issues.

His handling of the Richmond affair itself exposed the built in pretence in him, as he appeared to be taking directives from two different quarters -- serving two masters if you like. For nearly a year he played cat-and-mouse with the opposition during which he was able to ensure that their proposed motion on Richmond saga never reached the Bunge floor. Then to the amazement of many, he abruptly announced the formation of a Bunge panel, under the Kyela MP, Dr Harrison Mwakyembe to probe the very issue.

However the decision appeared to have been taken half-heartedly as when the panel was gearing to present its report, Sitta again invoked his dilly-dallying tactics – he put on hold its presentation, saying he was travelling abroad and therefore the report must wait for his return. He even forbade his Deputy to sanction its reading in the House during his absence. Talk of speed and standards!

Then, again, he abruptly changed his mind in a U-turn that must have been forced on him from a higher authority Ð he cancelled his foreign trip and allowed the report to be presented in the House.

That was the self styled ‘man of speed and standards' – the qualification of which was all but eroded when other thorny issues – Buzwagi and EPA came up in the House. His handling of the former, which saw the Kigoma North MP Zitto Kabwe thrown out of the House and later given a six-month suspension was seen to be unreasonable by many, if not unjust, as revelations later proved.

He also sanctioned a statement, through the Clerk of the House that threatened legal action to anyone, specifically newspapers and other activists – who were openly opposing the Bunge decision on Kabwe, as such agitation was infringing House proceedings.

As for the EPA issue, apart from the customary foot-dragging in allowing the motion to be tabled in the House, Sitta even went as far threatening its sponsor, the Karatu MP, Dr Wilbrod Slaa with court action for trying to present to the House what he termed "forged documents".

As it turned out they were not fake at all, according to the Ernst and Young audit report, and Sitta's objective was seen to be a manifestation of some pressure exerted on him to keep the BoT swindling issue away from public view.

As stated, he has never been a stranger to controversy or official storms. Just like his main accuser in CCM-NEC early this week, Kingunge Ngombale-Mwiru, Sitta has a remarkable aptitude of elasticity (or can we say expediency?) in his political principles, for he can and does bend so freely with any political wind of change and quickly accommodates himself to the changing fortunes.

He has been the MP for Urambo since mid-70s (before the constituency was split into two -- East and West) only to be thrown out, in 1995, by multipartyism after he lost his seat from Augustne Mrema's avalanche. He bounced back in the 2005 elections -- no doubt propelled by the Kikwete avalanche.

In 1965, as President of the National Union of Tanzania Students (NAUTS) -- predecessor of DARUSO -- he was one among several University of Dar es Salaam students who were expelled for being one of the ringleaders of a march staged in protest against the newly introduced compulsory National Service scheme. The expelled clique was responsible for the (in)famous utterance that enraged Mwalimu Nyerere: "It was much better during colonial days."

Somehow, he was rehabilitated and his earlier Bunge tenure saw him shuttling between several ministerial posts spanning Phase I and II administrations that included the new one for Capital Development, Works, Justice and Constitutional Affairs, as well as brief stints as Regional Commissioner for Iringa and Kilimanjaro. He was later picked by Mkapa to head the Tanzania Investment Centre.

However, whenever he ran out of step with the powers that be and found himself out of the cabinet, he did not hesitate to turn himself into a formidable backbencher in the House.

This came up in the mid 80s -- the days when these government "backbenchers" were real ‘opposition' figures, more opposing and blustering than the present-day Kabwes or the Slaas. They were the days when an MP could block the whole ministry's budget by merely "removing" or threatening to "remove" a shilling from its allocation estimates. Those were the days!!

That's what he had threatened to do in respect of the budget of the Finance Ministry as he wanted to be provided with the explanation behind the whopping (at that time) Sh 58 million allocated to the renovation of the gutted (in 1984) Bank of Tanzania building.

In his moving and passionate speech in Parliament that drew prolonged applause from many fellow members, he said the figure demanded was outrageous, as it was astronomical, and that it was enough to provide drugs to all rural health centres for ten years.

He won the hearts of many people, especially the poor, who could find no drugs in most such health facilities in those days. Among the few people who were not amused by Sitta's speech was Joseph Warioba, the Premier. Sitta later withdrew his threat after the Minister responsible offered some explanation.

It's amazing how time, including one's trials and tribulations can transform man's principles. British writer William Hazlitt once said that a hypocrite is the one who professes what he does not believe in, and not he who does not practice all he wishes or approves.

Several months ago he was at it again – he was reminding whoever wanted to be reminded that his ‘speed and standards' was still in one piece. In his maiden interactive session with editors of various media houses – the largely befriending sessions that he said would take place regularly on monthly basis – Sitta announced various measures that he plans for the House for it to expedite smooth service delivery to the public.

At that meeting he said he would not be playing cat-and-mouse with MPs any more, and that any earth-shattering motions brought up in the House for discussion, or that need constituting probe panels thereon will be dealt with the deserved speed and standards. He did not know that his party's higher organs were not so enthusiastic about that.

To show that his adversaries were at his throat he immediately started fighting off serious allegations of embezzlement of public funds against him, allegations which are currently under investigations by the Bunge Office. He has also been complaining that he and his family have been a target of hate mobile text messages.


hilkharb46@yahoo.com
 
Je, uko uwezekano kuwa amebadilika sana kimtizamo na kiutendaji? Joka kuu, unajuaje kuwa huyu bado ni yule chui uliuyemfahamu? I think your are negative about mzee Sita sababu huonekani kukumbuka mazuri yake! that's bad lazime uwe kwenye timu ya RA na EL.
 
emmathy,Anyisile Obheli,

..tatizo mnataka mtafuniwe kila kitu.

..mngejisumbua kidogo tu mngeweza kujua kwamba Samuel Sitta ni mzee wa zamani sana huyu. wazee wa rika lake ni wastaafu kama Mzee Joseph Warioba, Jaji Mama Julie Manning, etc etc.

..kuhusu suala la kampuni ya Richmond ukweli ni kwamba iliingia nchini wakati Raisi Mkapa. wakati huo mtendaji mkuu wa kituo cha uwekezaji TIC alikuwa Samuel Sitta. mradi wa kwanza ambao Richmond walijaribu kutapeli ulikuwa ni ujenzi wa bomba la mafuta la DSM--Mwanza.

..sasa hata tukiacha hilo suala la Richmond. hivi nyinyi mnaonaje kuhusu ule ubinafsi alioonyesha Samuel Sitta kwa kupangishiwa nyumba ya mamilioni ya shilingi mara alipoukwaa Uspika.

..vipi kuhusu ujenzi wa ofisi ya kifahari ya Spika aliyojijengea jimboni kwake Urambo? fedha hizo zingeweza kujenga zahanati, mabweni, au maabara.

..huyu Mzee ni very good and re-inventing himself, lakini kila anapofanya hivyo anakuja na ufisadi mpya. kwa mtizamo wangu hatufai.





asanti
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom