Zidumu hekima za mwenyekiti,wanachama wa ccm na kura milioni 5 za jk!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zidumu hekima za mwenyekiti,wanachama wa ccm na kura milioni 5 za jk!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vitendo, Nov 17, 2010.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  http://http://www.youtube.com/watch?v=3L-3ayFRk1E&feature=related
  Mweyekiti wa CCM aliwaambia wanachama wake watafute wapiga kura ili apate kula zaidi ya Milioni 15,lakini matokeo ya uchaguzi yameonyesha Jk kapata kura chini ya zile alizowaambia/kuwatuuma wanachama wa wa chama chake kuzitafuta.
  Je hii inahashiria nini?Je CCM ya leo Hekima na mawazo ya mwenyekiti hayana heshima mbele ya wanachama?
  Je hekima/mawazo na maagizo ya mwenyekiti wa CCM leo hii sio kitu cha kufuatwa/kutekelezwa na wanaCCM.
  Je,wanaCCM hawana imani na mapenzi kwa mwenyekiti wao?
  Picha gani hasa wanachama wa CCM wameitoa kwa mwenyekiti na chama chao?
  Je sisi kama taifa tuna nini cha kusema juu ya mwenyekiti wa CCM na CCM yenyewe hasa baada ya anguko la kauli/maagizo/mawazo ya mwenyekiti wao kutofanya kazi katika uchaguzi mkuu 2010.
   
 2. P

  Popompo JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kura zenyewe ml 5 zimechakachuliwa!kushineh chichiemu na mkwere
   
Loading...