BoT Saga Unfolding: Meghji says I was duped by governor Ballali

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
804
Meghji: I was duped by governor Ballali

-Minister comes clean on Kagoda Agriculture Limited payments saga


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE Minister for Finance, Ms Zakia Meghji, yesterday disclosed for the first time how the disgraced former governor of the Bank of Tanzania, Dr Daudi Ballali, lied to her about illegal payments amounting to nearly $30.8m (approx. 40bn/-) made by the central bank to the controversial Kagoda Agriculture Limited company.

Speaking exclusively to THISDAY in her office in Dar es Salaam, Ms Meghji explained how Ballali deliberately misled her into defending the fraudulent payments on the pretext that the funds disbursed in 2006 were meant for ’sensitive’ issues of national security.

She revealed that Ballali told her the payments had been authorized to ’’finance sensitive government expenditure.’’

Ms Meghji said after deliberately giving her false advice on the matter, the BoT governor then personally drafted a letter - which she proceeded to sign - stating that the payments to Kagoda had purportedly been authorized by the government.

This letter was delivered to the then BoT external auditors, Delloite & Touche of South Africa, on September 15, 2006. It effectively brought to a close serious audit queries being raised at the time by Delloite & Touche, after stumbling upon the fraudulent payments to the Kagoda company during a routine audit of payments made from the BoT’s external payment arrears account during 2005/06.

Said Ms Meghji: ’’I agreed to sign the letter, drafted by the governor himself, because I trusted the governor at that time. It was only later that I realized the payments to Kagoda Agriculture Limited were not related to any government expenditure.’’

She said she only realized she had been duped by the governor after the Permanent Secretary in the Finance Ministry, Gray Mgonja, informed her that Ballali had actually lied to her about the true nature of the payments to the Kagoda company.

The minister told THISDAY that just four days after sending the first letter to Delloite & Touche, she found herself in a position of having to retract it.

’’It was at this point, on September 19, 2006, that I wrote another letter to the auditors, this time retracting the first letter in which I had erroneously defended the payments to Kagoda,’’ she said.

Ms Meghji gave THISDAY a copy of the retraction letter to the auditors.

The minister said a month after this exchange of correspondence Deloitte & Touche submitted its BoT audit report to the government, highlighting apparently massive embezzlement of funds in the sensitive financial institution.

’’It was then (late 2006) that the Controller and Auditor General was directed to hire an international audit company to conduct a ’special audit’ of the central bank’s external payment arrears account,’’ she explained.

On why she had taken so long to reveal the existence of the two letters, Ms Meghji said she delayed taking any action until the latest ’special audit’ by Ernst & Young was concluded.

The minister said she fully cooperated with Ernst & Young during the ’special audit’, even giving them copies of both letters.

The latest twist of events comes hardly a week after President Jakaya Kikwete formally sacked Ballali from the governorship in the wake of the ’special audit’ report’s findings.
 
Wataanza kutaja mmoja mmoja. Ila sasa issue hapa huyu mama akiwa kama mkuu wa Fedha, na BOT iko chini yake kwanini alikaa kimya?????????????????????


Mbona waandishi wa habari walipokuwa wanamfuata hakuwahi kusema? au ndio anaanza kusema baada ya mambo kuwa hadharani? Hii isiwe kama ilivyokuwa kwa wanachamaa watiifu wa CCM walipoanza kuzungumzia ufisadi baada ya mambo kuwa hadharani.
 
Haya yametokea 2006, katika kikao cha Bunge la Bajeti ya mwaka 2007/8, huyu Mama alisema BoT ni safi wakati Dr. Slaa alipotoa tuhuma za ubadhirifu. Tuhuma hizo hazikuanza leo wala jana, ni za muda mrefu na siku zote yeye amekuwa mstari wa mbele kuitetea BoT kwamba iko clean! Iweje leo aje na maelezo kama hayo? Hapa kuna mambo mazito sana.

Hivi kweli Waziri anaweza kuandikiwa draft ya barua na akaisaini bila ya yeye mwenyewe kujiridhisha? Waziri aidhinishe matumizi ya bilioni 40 bila kufuatilia kama maelezo aliyopewa ni sahihi au la? Kulikuwa na ugumu gani kumuuliza RO kama madai ya Ballali yalikuwa na ukweli wowote?

Pamoja na hayo ina maana serikali huwa inajichotea mahela kutoka kwenye kihenge chetu na kuzitumia kwa matumizi yao kwa kisingizio cha kwamba wanatumia kwenye usalama wa taifa? Kweli hata Deep Green, Mwananchi, Tangold na mengineyo tutaambiwa zilitumika kwa ajili ya usalama wa taifa!
 
Mkuuu naomba usome uangalie hii utaunganisha au tuiache kama ilivyo ,,,hii ni utoka gazeti la leo la nipashe ukurasa wa nne
kichwa cha habari"ZAKIA NA MRAMBA KUJIUZULU"

Katika taarifa yake DK SLAA.W anasema kuhusu meghji, waziri huo alishiriki kupinga report ya DELLOIT AND TOUCHE....aliwahi kueleza malipo yaliyotolewa kwenye kmpuni ya kagoda yalikuwa ni halali...na yalitokana na shuguli za serikali,,,alidai kuwa taarifa ya kampuni hiyo ilipingwa na zakia na kuamua kuwafukuza wataalam hao,,kwa hiyo utaona hapakuwa na asababu ya kufanya uchunguzi tena kumbe haya mambo yalishajulikana ,,aidha alidai miongoni mwa mambo yanayosababisha wasiwasi wa uchunguzi ni kuwapo kwa katibu mkuu kwenye bodi ya BOT,...MGONJA alishiriki kwenye ripoti ya mwaka 2006/7 lakini saini yake na nyingine zilionekana kuwa za mwaka jana,,
Alipohojiwa kwa njia ya simu BI zakia alikiri kuandika barua iliyopelekwa naDELLOIT AN TOUCHE ikihalilalisha matumizi yaliyofanywa na kampuni ya KAGODA...
Alisem alifikia hatua hiyo baada kufuatwa na BALALI aliyeomba kuandikwa barua hiyo kwa madai kuwa fedha zilizolipwa katika kampuni ya KAGODA...zilihusiana na masuala ya "USALAMA WA TAIFA"...BALALI linifuata na kuniambia fedha zilizolipwa KAGODA ZILIKUWA FOT NATIONAL SECURITY PURPOSES NA KWAMBA DELLOIT AND TOUCHE WALITAKA BARUA YA KUJUSTIFY HIVYO
 
kuna mtu hapa alishasema kuwa huyu mama atakuja kutaka kujiosha......now here she is.......

sit down mama na ukae kimya...........men are at work........at the moment the statement "no comment" from you will be good enough!!......bse anything you say now will be..............in the court of law!!!
 
siri imefichuka. kumbe kuna hela waziri anasaini tu bila kujiridhisha kwa sababu ni kwa ajili ya masuala nyeti ya usalama wa taifa? Haulizi hata kwa mkubwa wake wa kazi?

Kwa hiyo deep green, et al ndio imetoka hiyo...waziri mzima unadanganywa kama mtoto?

ndio maana kumbe hata maliasili alipokuwepo huyu mama palikuwa na rushwa za kutisha namna hiyo.

Ama kweli ndege mjanja....huyu mama kwisha kazi. nadhani alifikiri hizo hela zilikuwa zinakwenda kwa rostam> alipogundua sivyo akaandika barua kwa wakaguzi, kama ni kweli. ama kweli za wezi ni arobaini. tutawasikia wengi mwaka huu.
 
Na huyu ndiye aliyepewa dhamana ya pesa zetu Watanzania..............eeehhh!!!
 
Nilimwambia Akaandike Na Aniletee Nikasaini Alisema,,
Hata Hivyo Alisem Abaada Ya Kusaini Na Barua Hiyo Ilipelekwa Kwa Delloit And Touche Aliwasiliana Na Mr Mgonja Aliepinga Hoja Ya Matumizi Ya Fedha Zilizolipwa Kagoda ,,,
Baada Ya Kupata Maelezo Hayo Na Kufanya Vikao Vya Kiserikaliniliandika Barua Kufuta Barua Yangu Na Hivyo Kuagiza Cag Kufanya Ukaguzi Uliosababisha Kufikia Hatua Ya Raisi Mnayoiona ,,kwa Hyo Hili Swala La Bot Nilianza Kulishugulikia Hata Kabla Ya Dk Slaa Kupata Kwenye Internet,,

" Wana Jf Kazi Kwenu "tuchambue Pumba Na Uozo Na Utapeli Uko Wapi,,,hii Ni Kutoka Gazeti La Nipashe Jan 15/2008 Uk 14
 
very funny.Hii ni kiasi gani inaonyesha kutowajibika kwa watendaji wetu,unaweza ku-imagine malipo ya 40/- billion yalivyopitishwa .
 
usishangae sana ..ukweli unajulikana kuwa balali alikuwa ana act on his superiors....nyingi zilitumika wakati wa uchaguzi..ndio maana wizi umetokea 2005 ..mtu yoyote mwenye busara anatakiwa awe makini sana kushangilia kufukuzwa balali.....kama angekuwa kajichukulia angekuwa detention na hata njia ya kwenda airport asingeiona.....

muungwana kwa kujua hayo tayari amechukua hatua kuzima maandamano ya wana ccm nchi nzima KUPONGEZA UAMUZI WAKE WA KUMTIMUA BALALI..jk yuko makini sana kwenye hili..na kama mwanasiasa aliyeiva anajua ..muda wowote habari inaweza kuwageukia...ndio maana amemwagiza mkuu wa itikadi na uenezi asimamishe maandamano kwa sasa kwa kuwa sio political timely....

kama huu ni uzinduzi wa santuri ..huu ndio wimbo wa kwanza uliobeba album...bado kabisa album haijachezwa yote tulieni watatajana tu.....wimbo wa mwisho ataimba balali mwenyewe feuturing mwanasheria wake ..huu utakuwa funga kazi!!!!!
 
Hili suala haliwezi likamgusa Balali pekee yake, kuna kitu kikubwa kimejificha hapa na Namshauri JK katika ile timu ya IGP, AG na CAG aliyoiunda kufuatilia ufisadi huu aweke pia watu huru kama viongozi wa dini na muipuaji wa scandal hii Dr Slaa ndipo tutakuwa na Imani otherwise tunahisi kuna vitu vinataka kufichwa hapa maana hii kitu inagusa watu wazito na matumbo yao na ndio wafadhili wakuu wa CCM na wanaojitokeza kuchangia harambee zinazosimamiwa na Mh.JK kwa kumwaga mamilioni.

This is terrible, Tume huru iundwe indelee pale alipoishia Ernest& Young
 
She is Exposed and liable apparently she has lay herself open to Nyani Giladi- answerable and accountable! She is a liability.
 
Nilimwambia Akaandike Na Aniletee Nikasaini Alisema,,
Hata Hivyo Alisem Abaada Ya Kusaini Na Barua Hiyo Ilipelekwa Kwa Delloit And Touche Aliwasiliana Na Mr Mgonja Aliepinga Hoja Ya Matumizi Ya Fedha Zilizolipwa Kagoda ,,,
Baada Ya Kupata Maelezo Hayo Na Kufanya Vikao Vya Kiserikaliniliandika Barua Kufuta Barua Yangu Na Hivyo Kuagiza Cag Kufanya Ukaguzi Uliosababisha Kufikia Hatua Ya Raisi Mnayoiona ,,kwa Hyo Hili Swala La Bot Nilianza Kulishugulikia Hata Kabla Ya Dk Slaa Kupata Kwenye Internet,,

" Wana Jf Kazi Kwenu "tuchambue Pumba Na Uozo Na Utapeli Uko Wapi,,,hii Ni Kutoka Gazeti La Nipashe Jan 15/2008 Uk 14


So tangia kipindi hicho kwanini alichelewa kuchukua hatua za kum fire Balali wakati alishuhudia kabisa kuwa alidanganywa? Hapa Balali atatupiwa kila kitu. Wana JF bado tuna kazi nzito. Alichoongeza Bi Meghji ni upuuzi mtupu na hakupaswa kuongea upuuzi huu mbele ya jamii yetu ya wasomi.
 
Kabisa Kabisa Hapa Kuna Siri Kubwa,,,,jamani Embu Anaglieni Ati Balali Inavyoonyesha Alikuwa Ana Mamlka Juu Ya Zakia Meghji,,,uwii Haya
 
Kuna siku niliwahi kutoa comment hapa kuhusu huyu mama watu wakanishambulia wakasema oooh huyu mama ni mchapa kazi ni mtu safi kabisa etc Sasa mambo yko hapa. Nawaambieni bado tutasikia mengi sana na watu watashangaa. Mama Zakia unafanya nini ofisini sasa? Umeshaliingizia taifa hasara ya Billion arobani bado unaendeshwa na shangingi lenye namba WF. Hizo pesa mama kuna watoto wanakufa hawana dawa mahospitalini, hamna walimua mashuleni, hamna maji watu wanakufa kipindupingu.

Mama mbona nasikia umekuwa mgumu sana kuidhinisha ujenzi wa Daraja la Kigamboni mbona hili hukuuliza usalama wataifa unaenda kutumia wapi? Hivi usalama wa taifa hawanaga budget jamani?

Jamani mimi huyu mama alipotoka maliasili kwenda Hazina alipatiwa mshauri PS (Mchumi mzuri kutoka Botwana) lakini mama alikataa akataka kuja na kuwa na kijana wake kutoka mali ya asili ambaye iniavyosemekana hana ujuzi wa mambo ya kiuchumi. Sasa wizara kama Fedha ni wizara ya kiufundi ila navyosikia mama aligoma akasema mimi ninamshauri wangu baadae alishauriwa ili awe nao wawili. Nilipo pata hiyo habari nilijiuliza hapa lazima kunasiri huyu mama anazijua na ndio maana anakuja na msiri wake. Mama inawezekana hakuanzia hazina hadi huko mali Asili kutakuwa na maswali.

Mama si ujiuzulu kwa heshima na wewe? au hadi nasi tuandamane?
 
Huyu mtu tunamhitaji sanasana jamani na amini tusiamni kama tulivyosema akija kama hatwahi ku ("MKOLIMBA"] atatupa mengi sanasana,,,TUZIDI KUMWOMBA MUNGU AZIDI KUSHUSHA UANGALIZI WAKE KWA KIJANA WETU HUYU(BALALI)
 
So tangia kipindi hicho kwanini alichelewa kuchukua hatua za kum fire Balali wakati alishuhudia kabisa kuwa alidanganywa? Hapa Balali atatupiwa kila kitu. Wana JF bado tuna kazi nzito. Alichoongeza Bi Meghji ni upuuzi mtupu na hakupaswa kuongea upuuzi huu mbele ya jamii yetu ya wasomi.

Bank kuu iko chini ya MOF lakini ni chombo huru. Nadhani waziri wa fedha hana uwezo wa kumfire Governor.
 
Back
Top Bottom