Mh. Mizengo Pinda anaonekana TBC1 sasa hivi akiwa anaongea na mama yake mzazi kuhusu changamoto za kilimo kwanza. Mama yake anaonesha wazi wasiwasi juu ya utekelezaji na kufanikiwa kwa mpango na...
Hotuba iliyotolewa na JK leo 18 Nov 10 itajadiliwa kwa kirefu na Bunge litakapokutana mwezi Feb 2011. Je Wabunge wa Chadema watakuwepo bungeni wakati wa kujadili?
Nimeamua kuwataja nyie kwa vile naelewa mnaweza kunifikishia ujumbe wangu kwa viongozi na wana Chadema wote.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza na kuwashukuru kwa kazi nzito mnayoifanya, pili ujumbe...
Wakuu heshima mbele,
naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki
wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini
hawa jamaa walivuma sana...
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA...
Ndugu zetu wa Zanzibar hawataweza kuendelea kwa sababu serikali yao ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu. Zanzibar ina budget ya $400 million tu na watu wasiozidi 1,500,000!. Zanzibar...
Wana jamii, ilinishangaza sana kuona jinsi Spika alivyo fuatilia maombi ya Muheshimiwa sana Sophia Simba kuomba kuchaguliwa kuingia kwenye kundi la wabunge wa SADDEC, it was so interesed jinsi...
Wakuu mara ya mwisho rais kusafiri ilikuwa lini, na nani anaweza kukisia lini tena rais atasafiri, ataenda wapi na kwa sababu gani. Naona safari hii amekaa sana bila kusafiri. Labda safari...
Ibara ya 51 ( 2 ) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:
(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais...
CUF kujifuta, kutangaza kujiunga na CCM
Kuna tetesi kwamba mazungumzo ya sisri baina ya CUF na CCM yamekuwa yakifanyika ili kuungana kwa vyama hivyo.
Muafaka umeshafikiwa na...
Taifa linaelekea utumwani
Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe...
Sofia Simba kupita bila kupigiwa kura wala kuhojiwa kuwa Mbunge wa SADC ilikuwa sahihi?
Ndungai anasema Mnyika alikuwa sahihi kulingana na kifungu cha 5 (2c) cha kanuni za bunge lakini...
Wakati shughuli za Bunge zikiendelea tarehe 16/11/2010 wakati wa kumchagua naibu spika Spika, Anne Makinda, amekuwa akivunja kanuni za Bunge. Kwa kufanya hivyo ametupilia mbali kabisa kiapo chake...
Ndugu zangu Watanzania, sina maneno ya kuweza kutumia ili muelewe mpaka sasa nchi yetu siyo ile tuliyo kuwa nayo wakati wa mwalimu Nyerere! Sasa hivi hii nchi si yetu tena. Nchi hii imechukuliwa...
Source: Tanzania Daima Alhamisi, Novemba 18.2010
Hapa bunge la JYT lilikuwa linachagua wabunge wa Bunge la SADC. Kwa mgombea wa sisiemu kutokujadiliwa, kuulizwa maswali, na hatimaye kupigiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.