Faida za kusifiwa kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za kusifiwa kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Far star, Nov 18, 2010.

 1. F

  Far star Senior Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bila shaka unapokuwa na unajivunia kitu flani lazima kiwe kinakusaidia na kukuwezesha kupata maendeleo.sasa tz tunaambiwa tunaamani tena ya muda mrefu tu,lakini leo Rwanda tukicheza nao mpira wanatufunga,hali kadhalika DRC sasa faida ya kuwa na amani ikowapi,kama hata katika michezo tunashindwa kuonyesha tofauti kati ya sisi na Rwanda au DRC ambao wamekuwa matatizoni muda mrefu,sasa nini faida ya amani.mama katika maendeleo ya kiuchumi hao Rwanda tayari wametuzi mabali sana, na tunajua wamepigana sana vita ya wao kwa wao, na inaoneka hata DRC watatulia na kutuzidi pia,sasa kama unaamani lakini haikusaidii kupata maendeleo,then faida yake ni nini? naomba mnisaidie wan JF.kama amani hii inatumika kuwanufaisha wachache,je hili ndilo lengo la kuambiana tulinde amani yetu? na kama kupigana vita ndio ufumbuzi wa kupata maendeleo baada ya vita kama Rwanda nk,sasa tunasubiri nini? watanzania tutambue kwamba thamani yetu na maendeleo yetu hayawezi kuwa chini ya watu wachache ambao wanaamua na kutupeka wanavyoona wao, na mwisho wa siku wanatuambia ''jamani tulinde amani yetu'' Tutambue kwamba mabadiliko yoyote yawe ya kiuchumi au kisiasa yana gharama zake, na ndio maana kunawatu waliamua kupigana huko nyuma na kudai uhuru kwaajili yetu,kama wao wangeogopa sisi tungekuwa wapi? Tutambue kuwa watu hao sasa hawapo na tumebakia sisi na ndio wenye uamuzi juu ya hatima tanzania.CHANGE YES WE CAN
   
Loading...