MUAFAKA WA CCM NA CUF NI VISIWANI TUU na SIO BARA? KAMA NI BARA ni UENDEKEZAJI UDINI?


nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
76
Points
145

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 76 145
Muafaka wa CCM na CUF ni kwa nchi ya Zanzibar na si bara CUF Haikuwa na mgogoro na CCM bara msituchanganye na vyama venye mlengo wa uislam huku bara tazama kampeni zote za CUF bara ni sehemu zenye uislam tu.

Sasa hao CUF wamepata Wabunge Wa Kuteuliwa ina Maana nchi Ndogo kama Zanzibar yenye Idadi ya Watu sio zaidi ya Mwanza Mjini inawawakilishi hao Wengi Hivyo?

JAAMANI WABARA TUKO WAPI? :angry:

Sipendi kuingilia taaluma ya habari, lakini si hekima mwandishi kutumbukiza dhana zake akazisukumia kwa vyanzo visivyokuwepo. Ni sawa na uchochezi, hasa kwa Watanzania wa leo wasiopisha chambo hata kwa kauli pepe kiasi gani.Huhitaji kuwa mwandishi wa habari Tanzania hii kujua kwamba CCM haiwezi kuwa na mpango wa kuijumuisha CUF kwenye uwaziri. Kwa kigezo kipi? Kama kuna wanaosema hivyo, ni wachache wasioelewa mambo, na magazeti hayapaswi kuripoti kila kauli ya kila mzushi. Mbona haijaripotiwa jinsi watu kule Kariakoo wanaposema kwamba mpenzi wa Timu fulani alifariki kama kafara baada ya Timu yake kuishinda timu pinzani? Si yanasemwa? Hayaripotiwi kwa sababu hayana mantiki.Lakini kwenye siasa, kila jambo lisipokuwa na mantiki zaidi ndivyso linavyoripotiwa zaidi. Waandishi na magazeti yenu mnataka kutupeleka wapi?
 

Forum statistics

Threads 1,204,517
Members 457,359
Posts 28,161,459