...chadema ni nyuki wa asali,ccm ni mbu wa malaria....

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
ukitaja ufisadi wowote mkubwa ambao unaliangamiza taifa hili na vizazi vinavyokuja huwezi kuutenga wizi na ufisadi huo na ccm,pia jaribu kuangalia harakati za mabadiliko yote ya kweli ndani ya taifa hili ikiwemo kufichua ufisadi mkubwa huwezi ukautenganmisha na chadema,
hakika,chadema ni nyuki wa asali kwa watanzania na ccm ni mbu wa malaria.watanzania let us think big for our nation.
 
not necessarily, mbona tuna kina anne kilango, mwakyembe, etc wanaupinga ufisadi? hapa kunahitajika wabunge makini tu sio ccm wala chadema hapa, hata chadema pia wanaweza kufanya mauzauza!
down with you! thanks
 
Muundo mzima wa serikali pamoja na katiba ambayo inatumika ndiyo chanzo cha matatizo yote,kwa hiyo kikubwa ambacho kinahitajika ni kuwa na katiba inayoendana na wakati wa sasa, na kama JK alielewa ujumbe wa CDM basi ni wakati muafaka wa kuandaa kupitia katiba na kuunda mpya lakini bila katiba mpya usitegemee mabadiliko yoyote kwa hiyo jaribu kulifikiria hilo
 
not necessarily, mbona tuna kina anne kilango, mwakyembe, etc wanaupinga ufisadi? hapa kunahitajika wabunge makini tu sio ccm wala chadema hapa, hata chadema pia wanaweza kufanya mauzauza!
down with you! thanks
acha porojo zako kama hao uliowataja wangekuwa kweli wachukia ufisadi wangekubali kunyamazishwa na maamuzi ya chama chao?hapa nazungumzia ccm kama mbu wa malaria na kama hao kweli wangekuwa wameguswa basi wangekubali kuuvaa uzalendo na hata kuwa tayari kupoteza nafasi zao za ubunge kwa kuupinga ufisadi ndani ya chama chao
 
Back
Top Bottom