Hii ni zawadi kwa waandishi wenye roho ya paka

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,487
6,644
KWA KUWA watanzania wengi wanapata habari kwa kupitia redio, magazeti na TV ni vema kuwapatia zawadi hii (attachment) ili kuwafikishia watanzania wote hasa kupitia magazeti ya ndani na nje ya nchi.

NA KWA KUWA, nchi yetu tunaipenda sana na tunaamini umuhimu wa upashanaji habari na ulazima wa kupata habari zenyewe kwa ajili ya kutekeleza majukumu yetu kiufasaha zaidi na kwa maendeleo yetu na watoto wetu na vizazi vijavyo. waandishi hamna budi kuandika haya kwenye magazeti yenu kwa lugha nzuri na ya kueleweka

KWA HIYO BASI, naomba wahariri na waandishi wa habari na wanaharakati muandike haya kwenye magazeti na machapisho mengine kwa kutumia mfano katuni.
 

Attachments

  • Misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.docx
    30.3 KB · Views: 452
Mkuu,

Hongera sana, You are good!
Hii ni elimu kwa yeyote atakaekuwa tayari kuitumia.
Kama ulivyosema, let's hope wapo waandishi (hasa wahariri) ambao wako tayari kusimama na kuhesabiwa!
 
Back
Top Bottom