Dr. Hoseah bado yupo TAKUKURU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hoseah bado yupo TAKUKURU?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Nov 23, 2010.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana jf kuuliza si ujinga nipo mbali na tz na najua ktk hili jamvi naweza kupata habari za uhakika zenye uwazi
  NAULIZA Dk. Hoseah bado yuko Takukuru? Na kama amekataa kuondoka yu wapi basi wa kumuondoa?

  NAWAKILISHA

  MAPINDUZIIIII DAIMAAAAA
   
 2. s

  shiezo Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unatakiwa kuwasilisha, sio kuwakilisha...Halafu usitutishe na kutokuwepo kwako Tanzania, siku hizi ni vitu vya kawaida tu. Unataka kunambia kwa kuwa uko nje ya Tanzania ndio hupati habari za TZ? Mbona kila siku watu wanadiscuss kwenye boards mbalimbali, au ndo mikwara ya kizamani kuwa uko nje ya nchi kumbe unauza matunda, wakati sisi tunakula bata hapa hapa bongo. acha hizo.

  Kuhusu Dk. ni kweli bado yuko TAKUKURU. Wa kumtoa ni wewe, rudi bongo tujenge nchi yetu, sio unaishi maisha ya kitumwa ughaibuni.
   
 3. semango

  semango JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  be considerate kaka.mbona kauliza vizuri tu?me nilivyoelewa ni kua jamaa alijihami mapema ili asipewe majibu ya kukatisha tamaa kama ilivyo kawaida kwa walio wengi ktk hili jamvi kuponda maswali ya wengine.uungwana kitu cha bure mkuu.hatukatai wengine upeo wao uko juu kuliko wengine lakini hata hivyo haipaswai kumdhihaki na kumdharau mwenye upeo mdogo kwa maana aliekupa wewe kochi ndio aliempa huyo jamvi/mkeka
   
 4. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh una hasira na mtu kuwa nje ya Bongo?????? u cud just answer him easily....................Grow up pg..!!!!!
   
 5. s

  shiezo Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nilichokataa ni kusema kuwa kwa kuwa hayuko Tanzania, basi hajui Dk. Hosea kama yuko TAKUKURU. Hiyo sio issue ya kuwauliza wanaJF, angeweza hata kusearch kwenye google na akapata. This is not supposed to be a thread. Kusema kuwa nina hasira na waliokuwa nje ni kupotosha dhamiri yangu ya kuchangia thread hii. Nje sio issue siku hizi kaka, enzi za kutafuta viza kwa kusota zishaisha, acha mawazo ya kizamani. lakini pia kwa kuonesha uungwana nimemjibu hitaji alotaka, ila amenibia ile "niko mbali na TZ", haikuwa component muhimu katika thread yake zaidi ya kuonesha kuwa kuwa mbali ya TZ ni issue. Info unazipata kwenye net hata kama uko AFGHAN
   
 6. b

  bob giza JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wee jamaa genius kabisa, nimekugongea..ameshindwa njn ku google takukuru akacheki profile yao kama hosea yumo au lah...acheni uzushi na vimikwara vyenu mbuzi vya niko nje sijui nn nn...au ndo umeenda juzi tuu?? au maboksi yamekuchosha wewe mpaka umepagawa...mwehu wee mnadhani kuna mtu mmemtuma wajengee hii nchi??
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yuko tele!
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hoseaaaaaaaaa na JK ni kama pete na kidole!
  Ivi kesi ya Chenge leo si ndo inaunguruma
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Aende wapi mkuu wakati nchi hii yupo pekeyake mwenye vigezo vya kuwa alivyo.
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwa kulekebishwa na pia nashukuru kwa majibu mazuri,nadhani umefika wakati sasa wa kupiga kelele ili wakuu wajue kuwa tumechoka na watu wasiotimiza wajibu wao,sisemi kuwa takukuru haijafanya kitu ila nacho laani ni kitendo cha mkuu wa takukuru kutoeleweka kwa matamshi yake ya kuwasafisha watu kwa ajili ya maslahi binafsi

  @shiezo ni samehe kama nimekukela ni mambo ya kawaida
  mapinduziiiiiiii daimaaaaa
   
 11. s

  shiezo Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  EngMtolela na wewe nisamehe sana kaka, unajua sasa hivi watanzania tuna hasira sana. We acha tu
   
Loading...